Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Waliofadhali mabango yaliyoenea nchi nzima ya "nani kama mama" ndiye anayefadhili huu ujinga ili azidi kupewa raslimali za TanganyikaKuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?
Acha chokochoko "Mama anaupiga mwingi"Kuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?
Nimewaona jana Machawa wake wakina Mwijaku na Babalevo eti wanaonesha shule aliyosoma na nyumbani kwa Mama yake mdogo.Aisee,kweli Tanzania tumepatwa safari hii!Yaani hili tamasha ni ujinga,kuna watoto wanakaa chini,ila Rais anafanya sherehe ili ajitangaze kwa kuwatumia kina Baba levo. Tanganyika maskini. Hata Magufuli aliyependa Chato hakuwahi fanya tamasha la hivi ili tuwajua mama zake sijui shangazi zake.
unaumia roho ukiwa pande zipiiiiii????Yaani hili tamasha ni ujinga,kuna watoto wanakaa chini,ila Rais anafanya sherehe ili ajitangaze kwa kuwatumia kina Baba levo. Tanganyika maskini. Hata Magufuli aliyependa Chato hakuwahi fanya tamasha la hivi ili tuwajua mama zake sijui shangazi zake.
Gharama zimelipwa na serikali ya Tanganyika, lengo ni kula pesa za ummaKuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?
Obvious Mfadhili atakuwa ni yule yule ambaye na wewe unamjuaKuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?
Kaiba wanyama wetu, kawapeleka hukoAcha chokochoko "Mama anaupiga mwingi"
RA anamchezesha mama atakavyo....anzia RT...Deal zote kubwz...kapita mtalam pia kamshika 1dt Son wa Mama ....Deal zote Dolar Grid ....yumo ....muda utaongeaKuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?
stupidhapo watakuja chadema wabishe
Kuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?