The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ukistaajabu ya chato utayaona kizimkaziKuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?