Nani anafadhili tamasha la Kizimkazi? Malengo yake ni yapi?

Nani anafadhili tamasha la Kizimkazi? Malengo yake ni yapi?

kwa wanao elewa maswala ya utalii wataelewa lakini nyie wapinga kila jambo hamuwezi elewa, shere kama hizi ni jambo la kawaida sana Zanzibar, tanganyika mlizoe minada ndio mkafanye sherehe. Wazanzibari wako advance kidogo.
 
Hebu fungujeni na sisi wa huku Mbwiga tuelewe. Kwani Kuna nn huko Kizimkazi?
 
Panem et circenses.

“ Tuliwapa mkate na matamasha tu, nao wakatuuzia uhuru wao.”(Juvenal, 55 A.D-)

Alafu utakuta mtu anasema wakati haugandi.

Sio kwa watu wote eti.
 
Kuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?
Waliosmamia kuua rais wa awmu ya tano
 
Je zimetumika billioni ngapi kugharamia kizimkazi festival? Kuanzia matangazo, kusafirisha machawa na kuwalipa na gharama zooote za festival jumla ni Billioni ngapi?
 
Ni bora nikashinda kwenye uzi wa rikiboy kuliko kufuatilia mambo ya awamu hii, tena ikiwezekana moderators watuwekee block button, tublock nyuzi zote za jukwaa la siasa tusizione kabisa. Maana serikali ya awamu hii inatia hasira kusikia mambo yake
Kuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?
Serikali ya Samia ndiyo mfadhili Mkuu!
 
Nimewaona jana Machawa wake wakina Mwijaku na Babalevo eti wanaonesha shule aliyosoma na nyumbani kwa Mama yake mdogo.Aisee,kweli Tanzania tumepatwa safari hii!
Huu ni zaidi ya ule unyani alio usema mtikila
 
Sawa. Uzuri ni kwamba utaishia kutukana tu ila maisha yake huna dalili ya kuyakaribia hata miaka 1000. Na matusi ndiyo ubunifu pekee wapumbavu wamejaaliwa nao!!
Wewe c utamfikia chief
 
Kiukweli kwa kule zanzibar kuna matamasha ya kiutamaduni maarafu na yote ni matamasha yapo east coast, huko east cost ndio unapata kizimkazi,makunduchi,paje,michamvi,jambiani n.k.

Kati ya hizi pwani za east coast, tamasha maarufu zaidi ni tamasha la makunduchi( nafikiri wenyewe wanaita tamasha la mwakatogwa" ) na ilo la kizimkazi ndio linaitwa "tamasha la kizimkazi".

Kwa zanzibar , watu wa east coast na makunduchi ndio wajanja wao, hata serikilani na viongozi mbalimbali wanatoka huko, kwahyo ili tamasha likifika viongozi mbalimbali wa serikali wanendaga huko kutambika na wao.

Matamasha haya yapo tangu enzi na enzi, mm niliwai kuishi zanzibar kwa miaka kama mitano hivi, kipindi cha hizi tamasha,nikweli harakati mbalimbali zinapungua mjini, na watu mbalimbali wanaelekea east coast kwenye hizi tamasha, sisi waswahili wapwani ya tanganyika matamasha kama haya yapo ila tunaitwa "madogoli", na hizi tamasha za east coast ya zanzibar ni mfano wako, ni tamasha la pure pure la kiasili.

Nafikiri Mama ni mtu wa kizimkazi, ndio maana hili tamasha this time limefanyiwa promotions sana sana.

N.B
Kwa zanzibar tamasha maarafu la kiasili ni lile la makunduchi na siyo ili la kizimkazi.
Uko sahihi kabisaaa
 
Mara nyingi haya matamasha namba wani akimaliza muda wake nayo yanapotea. Chato ilisikika watu wakajenga nyumba za wageni, ndege zilianzisha ruti kwenda chato lakini chuma kilipokata moto chato sasa hivi inaota majani tuu hakuna cha kiwanja cha milioni 50 wala hoteli
 
Back
Top Bottom