The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ukistaajabu ya chato utayaona kizimkaziKuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?
Utalii.Kuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?
Weka ushahidi hapa sio unaropoka ropoka hovyo🙂Gharama zimelipwa na serikali ya Tanganyika, lengo ni kula pesa za umma
Mwanangu vp utaenda kumuona baba level na mwijaku [emoji1]Weka ushahidi hapa sio unaropoka ropoka hovyo🙂
Nguvu ya fedha ya genge la watanzania wenzetu kwa sura ya DP World.Kuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa 2025; lakini nani mfadhili? Malengo yake ni yapi?
Hivi angekuwa Rais mwanaume angemshika hivyo hivyo? Ila warabu!
Bila shaka atakuwa kwao Nainokweunaumia roho ukiwa pande zipiiiiii????
Mna kazi sana, poleni!Hivi angekuwa Rais mwanaume angemshika hivyo hivyo? Ila warabu!
Nipo njiani🤣🤣Mwanangu vp utaenda kumuona baba level na mwijaku [emoji1]
Ova
Chato.unaumia roho ukiwa pande zipiiiiii????
Mam amepungukiwa na akili amekosa Cha kufanya Kaz Ni kushabikia mpira na kufanya vigoma vya ghrama kila mweziYaani hili tamasha ni ujinga,kuna watoto wanakaa chini,ila Rais anafanya sherehe ili ajitangaze kwa kuwatumia kina Baba levo. Tanganyika maskini. Hata Magufuli aliyependa Chato hakuwahi fanya tamasha la hivi ili tuwajua mama zake sijui shangazi zake.
Hivi kumbe ni birthday yake?Hatuna Rais hapa kwa kweli.Ila mbona nimeona kazaliwa January ?Au ndo watanzania tulivyo,tarehe ya kuzaliwa real si iliyopo kwenye documents.Mam amepungukiwa na akili amekosa Cha kufanya Kaz Ni kushabikia mpira na kufanya vigoma vya ghrama kila mwezi
HV mtu unakumbuka siku ya kuzaliw alfu unakwenda kuwahita media zote akili matope alisikika lisu
Nimeipokea pole maana awamu hii ngozi nyeupe wamejua kutuchezea, alianza yule mzungu wa Royal toure na sasa waarabu.Mna kazi sana, poleni!
Hakuna kitu serikali ya awamu ya sita inakosea kama kuwatumia hawa watu zero brain kupromoti mambo yao yaani inaonekana ni serikali iliyofeliNimewaona jana Machawa wake wakina Mwijaku na Babalevo eti wanaonesha shule aliyosoma na nyumbani kwa Mama yake mdogo.Aisee,kweli Tanzania tumepatwa safari hii!
Sawa. Uzuri ni kwamba utaishia kutukana tu ila maisha yake huna dalili ya kuyakaribia hata miaka 1000. Na matusi ndiyo ubunifu pekee wapumbavu wamejaaliwa nao!!Nimeipokea pole maana awamu hii ngozi nyeupe wamejua kutuchezea, alianza yule mzungu wa Royal toure na sasa waarabu.
Kwani tuna mfumo gani wa kuwapata vionvozi, viongozi wanaojua TanzaniaYaani hili tamasha ni ujinga,kuna watoto wanakaa chini,ila Rais anafanya sherehe ili ajitangaze kwa kuwatumia kina Baba levo. Tanganyika maskini. Hata Magufuli aliyependa Chato hakuwahi fanya tamasha la hivi ili tuwajua mama zake sijui shangazi zake.