Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

Asante nimeelewa vizuri sana.
 
Nenda ukakanyage mafuta huku tuachie sie watabe
siamini katika uchafu wenu wa rozali, mafuta wala kitu chochote zaidi ya kumwomba Mungu kwa msaada wa Roho Mtakatifu na kumtumaini Kristo aliye upande wa kuume wa Mungu Baba. Ambaye Maandiko yanasema ananiombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa kwa ajili yangu.

Vipofu wa imani msiojua Maandiko ndiyo mnashikwa masikio eti muombe kupitia wanadamu wenzenu ambao ni marehemu (eti watakatifu) na hamjiulizi ni kwa nini hao watakatifu ni waitaliano tu. You are trappet in a mafia cycle hamjui tu....

Hao wanaokanyagisha watu mafuta kama unadhani ni wa maana au ni invention mpya nakupa pole. Nenda kwa paroko wako akupe elimu. Hizo zote ni inventions za kipagani zilianzishwa na constantine karne ya nne alipoanzisha na rozali. zimekuwepo kwa karne nyingi, ni uchafu tu kama uchafu wa kuamini rozali.

Mjue Kristo, uwe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe kiimani na kiroho. Biblia inasema Mungu anapendezwa na watakatifu walioko duniani. Si marehemu walikuwa watumishi wake. Aliyekufa hana msaada wowote kwako. Kristo Yesu peke yake na Roho Mtakatifu, ndiyo wa msaada kwako.
Wake up!
 
Utumwa wa fikra ni mbaya kuliko ugonjwa wa ukimwi
 
Njoo piem tuanze kufunga pamoja me naanza jmosi hii novena Mt Ritha ya siku 9

Kwanza kabisa unatakiwa kusali rozali ya huruma ya Mungu, ujisafishe kwa toba na kujiweka karibu na Mungu. Kisha anza Novena itapendeza ukifunga na mambo yote ndani ya hizo siku. Missy Gf shogare tuanze jmosi kufunga
 
hii sala ina jibu kwa wanaoamini, sali kwa imani ukiambatana na kufunga/kujinyima na kutoa sadaka kwa kile unachojinyima, kutoa sadaka sio lazima iwe kanisani, toa kwa wahitaji.

Umenifurahisha best leo kumbe nawe unasali novena [emoji7][emoji7][emoji7]
 

Hii kitu watu hawajui tu inavyofanya kazi, shogare tuanze toba jmosi tuingie kwenye mfungo
 
am in bfff, basi this week tuanze na toba kabisa ya kudhamiria
 
Nipe maelezo ya kutosha, nipite hapo st peter nichukue kitabu
Kile kitabu ndo kinakuelekeza .Unafunga kula kadri unavyojisikia,unasali kwa imani.Na unamuachia Mungu yeye ndo atajibu maombi yako.Actually mt Rita alikuwa ni mtu wa Imani sana,yaani hata ambapo kibinadamu haiwezekani.Yeye maimbi yake kwa Mungu na Imani yake mambo yaliwezekana.Mfano mtu aliewahi olewa hairuhusiwi kuwa mtawa.Ila yeye alipofiwa na mmewe ,kisha na wanae.Aliomba kuwa mtawa kwenye shirika la mt Augustino ila aligonga mwamba.Aliendelea kumwomba Mungu ,na baadae akaenda tena kuomba kuwa mtawa hapo hapo alipokataliwa mwanzo.Baadae alikubaliwa.Yaani hii sala hii sala inakufanya kujenga imani kwa mambo magumu unayoyafanya ambayo kibinadaamu ni magumu,ila kwa Mungu yanawezekana na unatoboa kabisa.
N:B mimi si mkatoliki ila huwa ninasali novena mfano hii ya Rita,Antony wa Padua na nyingine nyingi.
 
Tuanze bff tujitenge mbali kidogo na satan mvuruga mambo mwenyewe nina mtu nataka nimuweke kwenye maombi
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ mimi nina mengi sana ya kuongea na Mt Rita, tuwe tunasali saa nane usiku ndyo muda mzuri
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ mimi nina mengi sana ya kuongea na Mt Rita, tuwe tunasali saa nane usiku ndyo muda mzuri

Mimi huwa nasali huo muda kunakua kumepoa.

Afu kuna ile 3 kavu aiseee!!! Ile funga kazi lazima majibu yatoke kabla hujamaliza mfungo
Ile novena ina mengi sana ni vile binadamu wabishi
 
Mimi huwa nasali huo muda kunakua kumepoa.

Afu kuna ile 3 kavu aiseee!!! Ile funga kazi lazima majibu yatoke kabla hujamaliza mfungo
Ile novena ina mengi sana ni vile binadamu wabishi
ile ya masaa 15 ile ni balaaa....ila siwezi sali hiyo nina heka heka sana nitakosa muda wa kusali
 
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…