Nenda youtube marehemu mosinyori Mbiku kaifundisha vizuri mno. Ukikosea hupati matokeoHabari zenu watu wa Mungu,
Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya.
Natanguliza shukrani.
Ni siku 12,, 9 za maombi maalum na 3 za shukraniNina PDF yake sema ndio nataka kufahamu unaitumiaje. Ya siku 9 nafikiri ndio itanifaa, hii inakuwaje?
Vyote ni upuuzi dawa ni kufanya kaziNovena yenyew upuuz tu
Kak naomb nifundishe jinsi y kusal noven
Akiuliza unataka nife na utajiri ili unisaidie nini huko mbinguni, utamjibu nini?Tafuten pesa achaneni na mambo ya kipuuzi hayo yaliyo tutia umasikini miaka na miaka
Wasiwasi ndiyo akili, Mungu hakusema tukae tu bila kufanya kazi hapana. Vilevile wapumbavu hujisemea hakuna Mungu! (Zab 14:1). Hutapoteza chochote ukaamini kuwa Mungu yupo na ukamuabudu na ikafika mwisho ukaona hayupo, ila is very acute kujiaminisha kuwa kumwabudu Mungu ni upuuzi na ukafika mwisho ukuta yupo!Haya mambo niliona ni upuuzi nikaacha nakwenda kanisani kabisa, yaani unakaa unategemea binadamu mwenzako akusaidie ufanikishe mambo Yako ilihali yeye mwenyewe ameozea aridhini, Dini hizi zililetwa kutupumbaza akili tu na kutuongezea umasikini, ulaya watu wanachangishana pesa wanajenga shule full equipped, watoto wao wanapata maarifa ya kupambana na maisha, sisi tunachangishana pesa kujenga mikanisa mikubwa tunaenda kuimba litania ya Lita na Maria, na kunywa maji ya upako Ili tupate maisha mazuri
Asante kwa kumalizia kwa shukurani.Habari zenu watu wa Mungu,
Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya.
Natanguliza shukrani.
Mimi ni wa Mungu lazima nisali na kumtumikia, Mungu wetu sote. Tumsifu Yesu Kristo mpendwa!Umenifurahisha best leo kumbe nawe unasali novena [emoji7][emoji7][emoji7]
umasikini wako usisingizie dini ndo sababu.wapo waislam na wakristo wameshika dini na ni matajiri.Tafuten pesa achaneni na mambo ya kipuuzi hayo yaliyo tutia umasikini miaka na miaka
Mimi ni wa Mungu lazima nisali na kumtumikia, Mungu wetu sote. Tumsifu Yesu Kristo mpendwa!
Hakuna tajiri aliye shika dini usijidanganye mzeeumasikini wako usisingizie dini ndo sababu.wapo waislam na wakristo wameshika dini na ni matajiri.