Uchaguzi 2020 Nani anafahamu wasifu wa Amani Golugwa meneja kampeni wa Tundu A. Lissu?

"Si MNAYATAKA TUKIN'GOLEWA TUKIENGULIWA TUTAINGIA BARABARANI"

Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)

Mpka sasa wameshaenguliwa 500 [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Hakuna hata iliengia Service Road wacha Barabarani
We nae kama jinga sasa hayo nayo yana kufurahisha nini? raha ya ushindi kushindana, kupitia bila kupingwa mwanaume lazima tukuangalie mara mbili mbili
 
Niliambiwa campaign manager ni Dr Marcossy Albanie

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Wasifu wake
 
NEC wanasema kazi ya kulinda kura sio ya mpiga kura, wewe unasemaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kulinda kura,tutabaki ili watutangazie matokeo hapo hapo.

Kwani wao matokeo wanataka tuyapate kwa namna gani? Watatuma kwa posta?

Tumekuja kupiga kura tutabaki watupe matokeo yetu,kisha tutaondoka zetu.

Kwani wao hofu ya nini sisi wapiga kura tukiamua kusubiria wajumlishe na kutujuza.

Kupiga kura watuhamisishe tufike,kupata matokeo watukataze..wasilete ulofa wao.

Tutapiga kura na kungoja watupe matokeo ya hizo kura zetu.
 
Kako vizuri kwa kweli! Hiyo timu ya kampeni ya Lissu ni hatareee huwezi kulinganisha na matakataka ya kijani!
 
Huyu jamaa yuko vizuri sana najiuliza Lissu kamuopoa wapi. Asante kwa taarifa
 
Kwahiyo ana uzoefu wa Jinsi ya kushinda kama Malawi.

Kweli Lissu kajipanga. Alianda vichwa toka zamani. Inawezekana Siri ilivuja toka mwanzo kuwa Lissu ndie atakayekuja kumpinga jpm.

Kama kawaida ya Farao alipoona watoto wa kiume wanazaliwa na huku akijua kuna mmona atakuwa mfalme akaanza kuwachinja wote. Mambo yale yale ya Herode na ufalme wa Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…