Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Kwa kuongezea..ukiendesha Landrover Disco au Range ..utamsahau mjapani na Cruza zake. Hizi gari zipo comfortable kwenye kuendesha, solid, imetulia barabarani na position ya kiti cha dereva ipo vizuri sana. Gari inasimama na haiyumbi. Japokuwa inaweza kuhumili barabara mbaya.....ila huko itaiumiza.
 
Kama unapenda mbio chukua V8 petrol. Kama unapenda fuel efficient chukua ya diesel. Epuka kuchukua yenye air suspension kwani ni nzuri sana kama unatembea mawinguni ila ikizingua utaita maji mma unless uwe na milioni 3-6 ya matengenezo
Mmmmmmhmn
 
Kwanza kumiliki hiyo gari inakuhitaji kuwa na kipato kuanzia milioni mia tano ila isipungue mia mbili huo mpunga upo?.
Mmmmmmhmn jembe, hiyo gari ina gharama gani hadi niwe na pesa nyingi kiasi hicho?
 
Nimeitumia aiseee hadi naulizia hapa nimeona maajabu yake. Ile gari wameposition vizuri sana siti ya Dereva. Nimekaa very comfortable pale kwenye siti, kucontrol ni rahisi sana.
 
Nimeitumia aiseee hadi naulizia hapa nimeona maajabu yake. Ile gari wameposition vizuri sana siti ya Dereva. Nimekaa very comfortable pale kwenye siti, kucontrol ni rahisi sana.

Vuta chombo, air suspension sio tatizo la kila siku, ukiipata ambayo imeshakua serviced hizo air suspension + other parts, utakula bata sana.
 

Fortuner is expensive compared to discovery. Almost twice a price
 
Well noted chief
 
Mradi usijekumletea ya MOTO!!! Halafu Interpol ije kumtia msukosuko!!
Hapana mkuu, zinakuwa halali kule kwenye ununuaji atafanya malipo yeye kwa bank transfer hata kama yupo Tanzania.

Kisha documents zote za Interpol na export permit zinakamilika ndio gari inaanza safari.

Kodi atapewa assessment mapema na kabla au gari ikikaribia border atapewa Control number ya TRA kulipa kodi. Gari inanunuliwa kihalali na kuingia kwa njia rasmi.

Pia kama atataka kwenda atakatiwa ticket zenye hii cost atarudisha biashara ikimalizika baada ya kurudi, pesa zake anakaa nazo kwenye akaunti akiridhia gari ndio afanye bank transfer.
 
We jamaa kama ela IPO chukua kama pesa ya madafu Achana nayo

NARUDIA TENA HII NI GARI YA GHARAMA MZEE VIPURI VYAKE TU BEI IMECHANGAMKE SO KAMA WEWE PESA VUTA NDINGA mwagito
Bora umempa makavu maana yeye akiziona huko barabarani anazichukulia poa kwanza hela hana kama kweli hela ipo nenda Nyerere road makampuni yote ya magari New yapo eneo hilo, Tazara mbele kidogo mkono wa kulia kuelekea Gongolamboto.
 
Japokua sijawahi kuinunua hii rafiki anaitumia , alidai ni gari nzuri linapokuja swala la cost minimization upande wa mafuta. Kama umeipenda nunua mkuu
 
Andaa 90m and above
 
Bei zinaendaje kabla ya Kodi SA, DISCO 4 au kama za Lukosi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…