Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

True...hawana maneno makuu, magentleman...
 
Hahahaaaaaaa!!! Umenifanya nicheke jamani.
Kwakweli na anaonekana ni mtu mzima pia(yaani kakua). Kwakweli hongera zake huyo mwanamke. Na ndio maana huwa hatokei mara nyingi humu JF, it explains alot abt him.
 
Ulichoongea kama kina ukweli kabisa aisee, kama huyo nilomtaja sio maarufu na inaonekana ni booonge la MWANAUME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…