Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zamu yako kufunguka sasa,yupi anakuvutia humu?
Atakuwa anajijua bana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zamu yako kufunguka sasa,yupi anakuvutia humu?
True...hawana maneno makuu, magentleman...Hakunaga kama bf wangu
nb list iyo sio sahii yaan kimtazamo jf ina wanaume wazuuri wasomi balaa ila kuwatambua kwa comments zao ni ngum ila wengi wa maana wanafanana na comment zao
pili ukitaka kujua mtu yeye ni nani mfano ona hao wanaobandika mabango ya wachumba. Ukiona vigezo unaweza kujua huyu mtu ni nani.
Mwisho wanaume wa maana jf sio maarufu sana
Nikupe nini mamie unipende zaidi??Hapo ontario yuko vizuri,mwanaume ukiwa na kauli nzuri kwa wanawake utapendwa sio wale wakuandika madhaifu ya wanawake kila siku
.
Weeee nakujaaaa. Nilikuwa navaa viatuNikupe nini mamie unipende zaidi??
Kama unataka mpunga wa kusukuma weekend nicheki PM naona mwenzio kasusa anaonea pesa aibu enzi hii ya Magu.
Hapo ontario yuko vizuri,mwanaume ukiwa na kauli nzuri kwa wanawake utapendwa sio wale wakuandika madhaifu ya wanawake kila siku
.
Weeee nakujaaaa. Nilikuwa navaa viatu
Yupo mkuu, akipita hapa anajielewa mwenyeweHebu nitajie sukari ya warembo mmoja..
Nishatoka kitambo..viatu nimegeuza. Nipo mlangoni kwakehahahahha utachania nywele njian toka fastaaaaa
Nishatoka kitambo..viatu nimegeuza. Nipo mlangoni kwake
Hahahaaaaaaa!!! Umenifanya nicheke jamani.haahhaah !na mtu kuandika kwa weledi huo unaosemea lazima kaoa! inaumiza unamtunuku mtu kumbe ASHAOA! imewah nitokea hyo!.acha kbs maumiv yake ndg yangu! yanachomaaaa! mara chache humu jf mtu mwenye strong point asiwe ameoa!....cc(....)! pambana na hali yako tu mamy! ndo maana mier leo nimekuwa mtazamaji tu!lol
Hamnambona waguna tena?
Ulichoongea kama kina ukweli kabisa aisee, kama huyo nilomtaja sio maarufu na inaonekana ni booonge la MWANAUME.Hakunaga kama bf wangu
nb list iyo sio sahii yaan kimtazamo jf ina wanaume wazuuri wasomi balaa ila kuwatambua kwa comments zao ni ngum ila wengi wa maana wanafanana na comment zao
pili ukitaka kujua mtu yeye ni nani mfano ona hao wanaobandika mabango ya wachumba. Ukiona vigezo unaweza kujua huyu mtu ni nani.
Mwisho wanaume wa maana jf sio maarufu sana
Kumbe hujasikia jamani. Daah.Sasa unanong'ona kisha unakimbia? Lol! Hahahahaha sijasikia vizuri Emmyta.
[emoji6][emoji6][emoji6]