Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibajaji alisema analipwa mshahara milioni 4 na laki 6, analipa kodi milioni 1 na laki 2.Umesema vizuri kabisa kwamba watanzania wengi hawalipi Kodi ila ulichosahau ni kwamba viongozi wetu ndio wanaongoza kwa kutokulipa Kodi mfano mzuri ni wabunge
Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala?
3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?
5. Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba, tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi
6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.
NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara
USSR
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
NANI KAKUAMBIA KUWA HUYO KIUMBE ANADANGANYWA..? TATIZO LAKO MLETA UZI NI KU UNDERESTIMATE STUPIDITY OF STUPID LEADER....HII UNDERESTIMATE NDIYO INAWA COST CHADEMA PIA1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala?
3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?
5. Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba, tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi
6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.
NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara
USSR
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Andika lugha moja ieleweke kihande weweRais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
NANI KAKUAMBIA KUWA HUYO KIUMBE ANADANGANYWA..? TATIZO LAKO MLETA UZI NI KU UNDERESTIMATE STUPIDITY OF STUPID LEADER....HII UNDERESTIMATE NDIYO INAWA COST CHADEMA PIA
Anamaansisha walipa kodi wakubwa wenye uweza kulipa angalau kuanzia shillingi million moja1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala....
Huyu Maadam president ana tatizo. Kama sik lake binafsi, basi ni tatizo la mfumo, yaani hili neno la milioni mbili lipo tanvu miaka ya Mwinyi na bado lina rithiwa.1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamal...
Na mkaka akinunua gari used Japan?Mama akinunua Mafuta analipa indirect tax
Aisee Kama umeenda shule ndio unaandika nonsense hivi Kuna mtoto hakusoma kwa kukosa ada nasikitika ada ilitosomesha kijinga lisiloelimika Kama weweNimekwenda shule kuliko ukoo wenu wote na mm ni mwanaccm namwambia ukweli rais Samia anadanganywa
USSR
Direct tax inatokana na biashara au mshahara. Umenunua maembe Tsh 1000, umeuza 1,200. Ile kodi inayolipwa kutoka faida ya Tsh 200. Umefanya kazi umelipwa mshahara ile PAYE ni direct tax.Hata kama ni direct tax, bado milioni 2 ni ndogo sana. Na isitoshe, unaposema direct tax maana yake nini? Mama akienda kununua mafuta ya taa kule kijijini Chiungutwa analipa kodi au sio direct tax?
Tumia akili kiazi mbatata weweAndika lugha moja ieleweke kihande wewe
USSR
Nchi Ina hasara sanaBabako anajua kuwa nawazidi ukoo wenu wote elimu
USSR
Hakuna hoja umeweka hapa so far Zaid ya ujinga ujinga tu , weka hoja angalau ya maanaTumia akili kiazi mbatata wewe
Professor mpumbavu ni hatari kuliko machinga mpumbavu ......msomi mpumbavu ni hatari kuliko mjinga mpumbavu ....Tajiri mpumbavu ni hatari kuliko masikini mpumbavu ...kiongozi mpumbavu ni hatari kuliko asiye kiongozi aliye mpumbavu ......hivyo
RAIS MPUMBAVU NI HATARI HATARI HATARI SANA KULIKO MWANANCHI WA KAWAIDA ALIYE MPUMBAVU ......Kwa hiyo.kanuni ina sema
💥💥💥💥DON'T UNDERESTIMATE THE STUPIDITY OF STUPID LEADER 💥💥💥💥
Duh! Ni mhimu kutafuta TIN namba. Imsaidie nini mtanzania wa hali ya chini? Umetumwa na TRA kupiga promo?Mkuu hapo mkuu wa nchi ameongelea kundi linalolipa moja kwa moja bila kupitia kwa tax withholder,makundi hayo ni kama wafanyakazi kupitia mishahara(paye tax) ...