Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

Punguza jazba.

Kuna direct taxes na indirect taxes. Indirect taxes mpaka mtoto mdogo analipia maana ni consumer based (mtu anapotumia kitu au bidhaa.)

Direct taxes ni predictable na inalipwa moja kwa moja. Hiyo wapiga kelele wengi hawalipi
Unajua hakuna taasisi inaweza kusonga kama haina takwimu.Tuna taasisi ya Takwimu(NBS).NBS ni Kila kitu,je ina reliable data,je ina qualified personnel,je ina budget ya kutosha,je ina personnel wa kutosha,je ina nyenzo za kutosha.Sasa Sasa hivi tukiwauliza NBS ni Watanzania wangapi wamejiajiri,wameajiriwa sekta ya umma na binafsi ni wangapi watatupa majibu ?.tuna biashara ngapi kubwa?biashara ngapi ndogo?ni Watanzania wangapi ni Jobless?Mpaka pale tutakapokuwa na NBS imara ndipo tutaweza kugundua kinachotukwamisha ni nini?
 
Indirect na direct zote ni kodi tu hakuna jipya hapo mimi nilinunua umeme naona VAT pale naumia kusikia silipi kodi

USSR
Sometime tuache upumbavu wa kupinga kila jambo, mtu kaongelea Direct ways za ulipaji kodi, kodi ambayo inawahusu walipaji moja kwa moja bila kuhusisha indirect ways za malipo na manunuzi ya bidhaa ambayo wengi mnashiriki.

Kamwe mlipaji wa kodi anaekatwa mshahara kila mwezi, huwezi mlinganisha na mlipa kodi anayelipa kupitia manunuzi madogo ya bidhaa ambayo pengine ni machache hata 10,000Tsh haizidi.

Pia huwezi mfananisha mfanyabiashara anaelipa kodi TRA kwa bidhaa zake na wewe ambaye hushiriki malipo yoyote kwa serikali mpaka ununue kitu ambacho nacho kodi yake ni ndogo sana.
Tunapolalamika maendeleo hakuna tuangalie na mzunguko wa makusanyo ya kodi yako vipi? Wapo hata humu wakwepa kodi, lakn maajabu ndio vinara wa kulalamikia serikali haifanyi maendeleo.

Tuache malalamiko ya kisiasa, kumchukia mwanasiasa isitufanye tujitoe akili kuchukia mpaka uhalisia.

Shame on you.
 
1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?

2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala?

3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?

4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?

5. Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba, tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi

6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.

NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara

USSR

Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Kiongozi anapaswa kuwa kielelezo,
Je yeye ni kielelezo cha kulipa kodi?
Yeye na wabunge wa bunge la JMT wanakatwa kodi mishahara yao?
Kama hawakatwi kodi mishahara yao waache unafiki
 
TRA wanasema Kila Mtanzania maadamu anaishi nchini na ananunua bidhaa nchini analipa Kodi ama moja kwa moja ama indirectly!!!
 
Hivi watanzania tuko milioni 62 au 65???
Mara sensa iseme mil 62 raisi nae mil65.
 
Kodi tunalipa ndo zinawapeleka bongo movie kina wema korea dah kazi ipo
 
Hivi nyie mna Rais? Yani mamlaka kubwa kama ya Rais anasimama kabisa anasema tunaibiwa, tena kwa sauti ya upooole na majizi yanamuangalia tu. Sasa unatuambiwa tunaibiwa na sisi tufanye nini sasa. Zaidi ya sisi tunaolipa koda tuache kulipa maana tukilipa zinaenda kwenye mifuko ya watu
 
Sometime tuache upumbavu wa kupinga kila jambo, mtu kaongelea Direct ways za ulipaji kodi, kodi ambayo inawahusu walipaji moja kwa moja bila kuhusisha indirect ways za malipo na manunuzi ya bidhaa ambayo wengi mnashiriki.

Kamwe mlipaji wa kodi anaekatwa mshahara kila mwezi, huwezi mlinganisha na mlipa kodi anayelipa kupitia manunuzi madogo ya bidhaa ambayo pengine ni machache hata 10,000Tsh haizidi.

Pia huwezi mfananisha mfanyabiashara anaelipa kodi TRA kwa bidhaa zake na wewe ambaye hushiriki malipo yoyote kwa serikali mpaka ununue kitu ambacho nacho kodi yake ni ndogo sana.
Tunapolalamika maendeleo hakuna tuangalie na mzunguko wa makusanyo ya kodi yako vipi? Wapo hata humu wakwepa kodi, lakn maajabu ndio vinara wa kulalamikia serikali haifanyi maendeleo.

Tuache malalamiko ya kisiasa, kumchukia mwanasiasa isitufanye tujitoe akili kuchukia mpaka uhalisia.

Shame on you.
VAT ndio chanzo kikubwa zaidi cha kodi Tanzania na walaji wa mwisho ndio wanaolipa VAT.
 
1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?

2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala?

3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?

4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?

5. Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba, tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi

6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.

NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara

USSR

Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Na hii ya kuwa na walipakodi wachache inachangia umaskini wa nchi na umaskini wa walipa kodi.maana kama bajeti inapangwa kulingana na walipakodi ni dhahiri kwamba walipakodi wanakamliwa sana na kubaki hawana kitu !! Mshahara wa million nne ,PAYE ni 1000,000
Ukishalipa PAYe bado unaendeleaje kukamliwa kwenye bidhaaa mtaani.ndiyo maana wafanyakazi bado maskini
 
Kizimkazi kila siku akishika maiki ni heri ya Jana.
Kazoea office, akula Rahaaa, kiburi mipasho vijembe chezea mali za watanganyika ndio wakati Sasa, chawa wamwelekeza awahi kuisainisha Zanzibar OIC fasta kabla watanganyika wakristo hawajarudi.....tunaona mengi
 
Hata kama ni direct tax, bado milioni 2 ni ndogo sana. Na isitoshe, unaposema direct tax maana yake nini? Mama akienda kununua mafuta ya taa kule kijijini Chiungutwa analipa kodi au sio direct tax?
Chiungutwa/Chilungutwa
Masasa hiyooo, zamani saaaana umenikunbusha
 
Bora hata asiwe anaongea akae kimya tuu kwa sababu kila akiongea anatoa boko kuliko lililopita
 
Back
Top Bottom