Hata mimi nimemwona mtu fulani wa ajabu sana
Siro, Dab and money hungry stupid fa wote dugu mojaUjuaji wa Kitanzania tayari, Haya anatumiwa na DAB mwambie Siro amkamate
Mpumbavu huyo jamaa. Ni kweli vijana na watoto wengi wanaweza kupona huo ugonjwa, lakini miili ya watu iko tofauti tofauti na wengine pamoja na ujana wao hawataweza kuhimili, watakufa.Unaweza kusema corona sio hatari na ukajiona uko sahihi, lakini tukumbuke wengi waliokufa kwa corona ni wazee, na wenye matatizo ya kiafya yaliyosababisha kinga zao kua chini, hili ni kundi kubwa la watu tukiudharau corona inaweza kuwaondoa hao wote, na watu hao ni miongoni mwa jamii zetu, anaweza kua ni baba, mama,bibi, ndugu au rafiki, SIO UGONJWA WA KUPUUZA HATA KIDOGO
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona inaenea kwa kasi tu ila effect kwenye vifo ni ndogo sana, usiichukulie poa malaria mkuu, jaribu kutafuta taarifa zake kwenye makala mbalimbali utaona hiyo corona haijafika hata robo ya vifo vitokanavyo na malariaCorona ni ndugu wa Ebola na kipindupindu zaidi hayo maralia yaweke pembeni
Ndio,huyu sio mgonjwa wa Corona.Mwana FA haumwi Corona kaamua kuigiza tu ni kiki ya kishamba kaikosea kaja na Kiki pasipo kutafakari kuwa watanzania wa sasa wapo makini wanajua uigizaji wote
Jinga kabisa. Yaani limenikera mno.Shime shime watanzania wote tuungane kumshambulia FA kwa kujaribu kututoa kwenye njia. More than 3000 chinese died, 3000+ Italian died afu achia mbali kwingine huko France, USA, Africa afu yeye analeta sanaa kwenye ishu critical kama hii. Who sent this biachi mofo?
Habari za Mwana FA tumeshaweka sana humu , ila ni basi tu watu hamkumbuki .NANI ANAMTUMIA MWANA FA?
Na Thadei Ole Mushi
Mwana FA yupo Karantini au yupo nyumbani?
Wagonjwa wanaojulikana positive si wanawekwa Karantini chini ya uangalizi?
Mbona hajavaa Mask? Wanaomletea Chai, Chakula nk si atawaambukiza wote?
Je ni Nani anahusika kuvitangaza hivi visa? Ni wagonjwa wenyewe au Waziri? Naona Mwana FA na Meneja wa Diamond kashajitangaza wenyewe hata hivyo idadi ya walioambukizwa haikuongezeka au Hawa sio watanzania? Mbona Waziri haongezi idadi ya wagonjwa?
Anadai ametoka S.A juzi na video kaitoa Jana kwa maana hiyo juzi Ni jumanne ndio alirudi ila Jumapili alikuwa nchini kwa kuwa kwenye Uzinduzi wa albam ya Harmonize alikuwepo au tuseme aliondoka Jumapili na kurudi jumanne inawezekana ila angelituambi S.A alienda lini tungemwamini zaidi.
Kwa alichokipost baada ya hii video Ni kuwa malaria Ni hatari zaidi ya Corona kwa kuwa kapona. Kwa maneno haya tahadhari zote ambazo watu walikuwa wanazichukua wataacha kwa kuwa Ni ka ugonjwa kadogo na utapona tu kama yeye. Si tunajua huyu Ni celebrity hivyo vijana wengi watamuamini na kuacha kufuata kanuni za afya.
Nani anamtumia Mwana FA kupotosha jamii? Wizara ya Afya haioni upotoshaji huu wa wazi? Kwa Nini hawamkamati? Wanaomtumia kupotosha kwa nn wasimtumie kuwapa watu Elimu zaidi?
Serikali mbona haitoi tamko? Msanii mkubwa Kama huyu anasikilizwa na watu wengi je tufuate anayoyasema? Maswali Ni mengi kuliko majibu ila swali kuu linabakia Nani Anayemgumia na Kumtuma Mwana FA?
Tunavyozungumza hivi makamu wa pili wa Rais Burkinafaso ameshafariki kutokana na Corona. Mwana FA anatuambia hii ni vimafua tu?
Tuneona Ummy Mwalimu akimtakia kila la Kheri Mwana FA kuwa utavishinda tu hivi virusi mdogo wangu mbona Hao wengine sita wa awali hajawatakia salamu hii na Kheri hii? Nani anamtuma Mwana FA na Kwa malengo gani?
Ole Mushi
0712702602View attachment 1393727
Sent using Jamii Forums mobile app
AY anajielewa!Mwana FA huvuta Bangi sana uwezo wake wa kufikiri umeshuka kama wa Le mutuz, mara mia AY yupo vizuri asingeweza kufanya vioja kama hivyo
Bado mbona uelewi,hzo habari tunazijua kitambo sana kabla hata ww haujasimuliwa na Mwanahamisi Mwijuma ,ila bado na sio Chloroquine hile tuliyokuwa tunameza cc ni Chloroquine iliyoboreshwa.Na sio tu Chloroquine mpk ARv ikiboreshwa inatibu Corona kama unakumbuka yule jamaa wa kwanza mweusi kupona Corona ilitumika mchangaiko wa ARv.Ni kweli , US wameamua kutumia chroloqune kutibu corona