Tofautisha karantini na lokodauni mkuu...Mkuu kuwa karantini sio lazima uwe hosp au kwenye kambi... Italy nchi nzima watu mil 60 wapo karantini ndio kusema wapo hosp au makambini? Nop, ni kutojichanganya na wengine ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa
Logic ya wengi wanaotilia shaka yako hapo. Mtu anasema ana Covid-19 lakini anarekodiwa akionesha dharau as if ugonjwa anaoongelea ni sawa na kidonda cha kujikata na wembe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wewe umekamilika sana ....naendelea kujiheshimu tuPolepole hakukosea kuwafananisha!
Isabella Mwampamba nani alimtaja jina?Nikujibu ktk list ya wagonjwa walotangazwa jana wanaume wawili wenye miaka 40 ni Mwana Fa na sallam_sk...Tangazo la wizara alikutaja majina option ya kujitangaza wamepewa na wizara na haji manara yupo njian anarudi nae tutajua ni postv or negative...ni kweli ugonjwa upo ila autishi km hofu tunayojitia Tee Bag,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli. Tofautisha Quarantine, Self Isolation na Shelter in place.Mkuu kuwa karantini sio lazima uwe hosp au kwenye kambi... Italy nchi nzima watu mil 60 wapo karantini ndio kusema wapo hosp au makambini? Nop, ni kutojichanganya na wengine ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa
Duh......nimekuelewa sana.Jamaa kuna sehemu anakwama.. juzi kati alikua na harmonize kwenye uzinduzi wa afroeast..
Sawa tuseme alipotoka tu ndio akapaa kwenda SA , alivyorudi akajisikia homa akaenda hospital akakutwa na Covid wakamruhusu aende hom kujirekodi??😂😂
Au pale inakuaje.. kwamba ukiende hosptali ukakutwa unaumwa COVID kama unajiskia vizuri wakakuruhusu urudi home kujiuguza mwenyewe??
Juzi nikimuona suspect wa corona mikoa flani ya nyanda za juu kusini.. yule jamaa alikua suspect tu ambaye baada ya muda waliconfirm kwamba hakuwa positive..lakini the way alivyokuwa treated ilikua as if ni time bomb linalolipuka muda wowote.. yaani alipewa ward ya peke yake kila kitu hosptali kilikua kinarevolve around yeye..
Sasa leo from no where mtu mmoja atest positive halafu wamuachie akajirekodi kwenye makochi ya ghetto lake... nitakuwa wa mwisho kuamini.
Bado nashangaa kwanini watu wanaendelea kusafiri nje ya nchi. Labda iwe sababu nzito kabisa
Kapita airport hajaonekana??
Huyu mjuba simuamini ile ilikuwa ni sinemaAlikuwepo jumapili dar akiwa mzima,
Jumatatu kaenda Africa kusini na kurudi kesho yake jumanne akiwa mgonjwa.
Sasa mbona hakuna incubation period?
HayaSio kweli. Tofautisha Quarantine, Self Isolation na Shelter in place.
Sent using Jamii Forums mobile app
HayaTofautisha karantini na lokodauni mkuu...
Ila MwanaFA siku nyingi amepotea kwenye media sasa naona amegundua namna