Nani ananunua gazeti siku hizi? Hakuna umuhimu tena

Nani ananunua gazeti siku hizi? Hakuna umuhimu tena

Shigongo alijua kuvuna pesa zetu na hadithi zake za uongo na kweli, kipindi kile magazeti ya udaku sh 100.

Jumatatu - champion
Jumanne - Uwazi
Jumatano nimesahau jina
Alhamisi - amani
Ijumaa - Ijumaa na Kiu
Bila kusahau lile gazeti la Sani
 
Labda maofisini lakini mtu binafsi sizani.


Maana taarifa zote zinapatikana kupitia mitandao ya kijamii, redio na televisions tena mapema kabla ya siku la gazeti .
 
Waaandishi wenyewe wako reactive,

Hawako investigative.

Yaani wanasubiri kudaka kile watakachosema wanasiasa au watu kupitia vyanzo vya hapa na pale ndio waandae gazeti.

Yaani bure kabisa.
 
Back
Top Bottom