Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 3,984 Reaction score 5,820 Apr 8, 2023 Thread starter #21 Demi said: Shigongo alijua kuvuna pesa zetu na hadithi zake za uongo na kweli, kipindi kile magazeti ya udaku sh 100. Jumatatu - champion Jumanne - Uwazi Jumatano nimesahau jina Alhamisi - amani Ijumaa - Ijumaa na Kiu Click to expand... Bila kusahau lile gazeti la Sani
Demi said: Shigongo alijua kuvuna pesa zetu na hadithi zake za uongo na kweli, kipindi kile magazeti ya udaku sh 100. Jumatatu - champion Jumanne - Uwazi Jumatano nimesahau jina Alhamisi - amani Ijumaa - Ijumaa na Kiu Click to expand... Bila kusahau lile gazeti la Sani
emrod Senior Member Joined Aug 29, 2022 Posts 181 Reaction score 229 Apr 8, 2023 #22 Mimi nimesahau kabisa habari ya magazeti Sasa kila kitu kipo kwenye mitandao gazet la nin Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi nimesahau kabisa habari ya magazeti Sasa kila kitu kipo kwenye mitandao gazet la nin Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Apr 8, 2023 #23 Labda maofisini lakini mtu binafsi sizani. Maana taarifa zote zinapatikana kupitia mitandao ya kijamii, redio na televisions tena mapema kabla ya siku la gazeti .
Labda maofisini lakini mtu binafsi sizani. Maana taarifa zote zinapatikana kupitia mitandao ya kijamii, redio na televisions tena mapema kabla ya siku la gazeti .
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Apr 8, 2023 #24 Waaandishi wenyewe wako reactive, Hawako investigative. Yaani wanasubiri kudaka kile watakachosema wanasiasa au watu kupitia vyanzo vya hapa na pale ndio waandae gazeti. Yaani bure kabisa.
Waaandishi wenyewe wako reactive, Hawako investigative. Yaani wanasubiri kudaka kile watakachosema wanasiasa au watu kupitia vyanzo vya hapa na pale ndio waandae gazeti. Yaani bure kabisa.
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Apr 8, 2023 #25 Kifupi kununua gazeti kwa sasa ni kukariri tu.
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Apr 8, 2023 #26 Hivi magazeti ya udaku yaliishia wapi jamani?!