Great thinkers.
Madalali wamekaa kiwizi wizi sana usipokuwa makini..imagine mteja unakuwa.forced kulipa commission how?
Na hili naona tumekubaliana kabisa kama taifa. Mi navyoona mwenye Mali ndiyo anapswa kumlipa dalali kwa kuwezesha biashara yake lakini.siyo mteja.
Naona watu wengi TZ bado wamelala usingizi mzito kwa hili. Tuachane na huu utaratibu wa kiwizi tunajiongezea gharama bila sababu ya msingi.