Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

Kwa jinsi ilivyo ni bora tu mpangaji aangalie na dalali jinsi ya kulipana
La sivyo mpangishaji itabidi aongeze cha juu kwenye kodi ili apate ya kumlipa dalali
 
Baadhi ya wenye nyumba, hutengeneza mkataba feki, kwa wapangaji tena mpangaji hupewa huo mkataba, wakati tayari ushahamia.
.Nilishawahi kutana nayo haya, nikajisemea moyoni huu mkataba hauna nguvu hivyo sina haja ya kuumizwa nao.
.
.Kuna rafiki yangu, nilimsadia kwenye nyumba ya kupanga kibaha, mama anampa mashrti ya kuishi pale huku nasikia, mwisho wa kuingia pale saa 4 usiku, baada ya hapo geti linafungwa.
Kupiga mswaki ni marufuku kupigia bafuni, kuna eneo moja tu la kupigia mswaki, akamuonesha palee. Kuna wapangishaji wana mambo ya ajabu.
 
Back
Top Bottom