Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

Wewe wakati unataka nyumba ulienda kwa mwenye nyumba akupangishe au ulienda kwa dalali akutafutie nyumba ya kupanga?

Kama ulienda kwa dalali akutafutie nyumba sharti umlipe gharama za kukutaftia nyumba.

Na kama ulitafuta mwenyewe nyumba bila kumshirikisha dalali ukapata, hutalipa hizo gharama, maana dalali hatakuwepo.
NAKAZIA
 
Kama nyumban zingekuwa nyingi kuliko wapangaji obviously mwenye nyumba angemlipa dalali pesa amtafutie mteja ila kutokana na kwamba watu ni wengine kuliko nyumba ndo maana mtu anamfata dalali ili amtafutie nyumba

Kama unaona unapigwa inabidi utafute nyumba mwenyewe ili kuwaepuka hao madalali
 
Wakuu,

Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata wateja, na imekuwa rahisi kwa wapangaji kufikia maeneo hayo kirahisi kupitia madalali.

Ambapo, baada ya kufanikisha zoezi la kupata mteja mpangaji anatakiwa kulipa kodi ya mwezi mmoja kwa dalali kama ujira wake, na asipolipa atafanyiwa figisu mpaka ashindwe kupata sehemu hiyo au ataletewa mtu mwingine na yeye kulazimika kuhama

Sasa swali linakuja hapa, nani anatakiwa kulipa ujira wa dalali? Kama dalali amepewa kazi na mwenye nyumba kwanini ujira alipe mpangaji? Kwanini asilipe mwenye nyumba aliyetoa shavu hilo kwa dalali?

Swali la nyongeza, kwanini mpangaji atakiwe kulipa kodi ya mwezi mmoja? Yaani gharama ile ile kwa mwenye mali inatakiwa iende sawa na kwa aliyetoa taarifa juu ya uwepo wake!

Ina maana imekosekana kabisa njia ya kumpa mpangaji unafuu na kumpunguzia, ikiwezekana kumuondolea kabisa mzigo huo?

Wakuu mnazungumziaje suala hili.
Na kwanini utafute dalali? Kwanni usiweke tangazo kwenye nyumba yako kuwa inapangishwa? mtu wa kati wa nini?
 
Inategemea dalali ni wa nani, kama ulimfata wewe akakupeleka kwenye nyumba, unamlipa wewe, mapatano yake na mwenye nyumba hayakuhusu.

Mara nyingi unapoongea na dalali mkubaliane kwa kuandikiana mapema kabisa kuhusu malipo yatakuwa ngapi na vipi.

Hakuna watu wabaya duniani kama madalali wasio rasmi. Wanaofatia mawakili.
 
Tena sikuiz wamegundua kitu ukipelekwa kuonyeshwa nyumba moja ya kwaza unalipa 10k upende usipende nyumba utalipia
Si lazima
Siku hizi wanaonesha nyumba kwenye mitandao, jiridhishe nyumba husika, mpigie akupe maelekezo ilivyo kisha nenda, ukikuta iko kama alivyoelekeza kubali kulipa kisha mwambie hauna ya kumlipa mwezi mzima bali ipo pungufu kama nyumba ni 200000 mwambie una 150,000
 
Hakuna mwenye nyumba anayemtafuta dalali....dalali ndo anatafuta nyumba iliyo wazi
Wachache sana, kuna wakati nilikuwa natafuta sehemu jamani yule mwenye nyumba hataki aongee na mpangaji, yaani dalali ndio kashika usukani😂😂😂 na wengine unaenda sehemu anakwambia mi sina tatizo ukimalizana na dalali.... na vile madalali wanakuwa na viburi utafikiri nyumba zao
 
Back
Top Bottom