Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

Nani kampa nani kazi ndio kitu cha kuzingatia. Ila huu mfumo wa mpangaji kutoa kodi ya mwezi ni aina fulani ya uwizi uliohalalishwa.
Nchi ya ajabu hii kuna vitu ukiwaza mpaka unakuta kuishi TZ mambo ya hovyo ni mengi alafu serikali imekaa kimya yani wanaona ni moja ya ajira kwa wananchi wizi mtupu.
Serikali ilipaswa kuliona hili na kulikemea kwasababu linaumiza wananchi lakini kwasababu tumezoea kuishi kwa maziwa ndio ivyo ukitafuta nyumba ya kupanga Leo kichwa kitakuuma shida kila kona kwenye hii nchi
 
Kama nyumban zingekuwa nyingi kuliko wapangaji obviously mwenye nyumba angemlipa dalali pesa amtafutie mteja ila kutokana na kwamba watu ni wengine kuliko nyumba ndo maana mtu anamfata dalali ili amtafutie nyumba

Kama unaona unapigwa inabidi utafute nyumba mwenyewe ili kuwaepuka hao madalali
Ina maana wewe hujui kwamba kuna wenye nyumba ukienda mwenyewe hakupangishi nyumba?
 
Can i ask you bro what is the grammer u can tell me in swahili
"Grammar"(sarufi) ni neno linalotumika kuelezea mfumo na kanuni za lugha ambazo zinahusika na muundo wa maneno na sentensi. Ni seti ya sheria na miongozo ambayo inaelezea jinsi maneno yanavyotengenezwa, jinsi yanavyopangwa ndani ya sentensi, na jinsi sentensi zinavyoundwa na kuwa na maana.

Kwa kutumia kanuni za sarufi, tunaweza kuelewa jinsi maneno yanavyopangwa kwa usahihi na kusawazisha muundo wa sentensi. Kanuni za sarufi hujumuisha mambo kama vile kitenzi, nomino, kielezi, kifungu, kisarufi, na wengine. Kanuni hizi huzingatia mambo kama uteuzi sahihi wa maneno (sintaksia), muundo wa tenses, makundi ya nomino, viambishi (kama vile viambishi vyenye wakati, idadi, na jinsia), na mengine.

Sarufi husaidia kuunda lugha kuwa na muundo na ni muhimu katika mawasiliano sahihi na wazi. Kwa kuelewa kanuni za sarufi, tunaweza kuwasiliana kwa ufanisi na kuzoea miongozo ya lugha tunayotumia.
 
Miaka ile nilipokua dalali wa viwanja kwanza ilikua ni lazima mteja alipe gharama za usafiri/anijazie mafuta ya 20k ili niende nikamuonyeshe kiwanja ama shamba.
Pili niliacha makubaliano yafanyike wao wenyewe kwati ya mwenye kiwanja/shamba na mnunuaji.
Mwisho wakisha uziana lazima nipate 10-7% kutoka kwa kila upande yaani anaelipwa na anaelipa.
Alhamdulillah, miakaile baada ya kupoteza ramani udalali ulinilipa sana
 
"Grammar"(sarufi) ni neno linalotumika kuelezea mfumo na kanuni za lugha ambazo zinahusika na muundo wa maneno na sentensi. Ni seti ya sheria na miongozo ambayo inaelezea jinsi maneno yanavyotengenezwa, jinsi yanavyopangwa ndani ya sentensi, na jinsi sentensi zinavyoundwa na kuwa na maana.

Kwa kutumia kanuni za sarufi, tunaweza kuelewa jinsi maneno yanavyopangwa kwa usahihi na kusawazisha muundo wa sentensi. Kanuni za sarufi hujumuisha mambo kama vile kitenzi, nomino, kielezi, kifungu, kisarufi, na wengine. Kanuni hizi huzingatia mambo kama uteuzi sahihi wa maneno (sintaksia), muundo wa tenses, makundi ya nomino, viambishi (kama vile viambishi vyenye wakati, idadi, na jinsia), na mengine.

Sarufi husaidia kuunda lugha kuwa na muundo na ni muhimu katika mawasiliano sahihi na wazi. Kwa kuelewa kanuni za sarufi, tunaweza kuwasiliana kwa ufanisi na kuzoea miongozo ya lugha tunayotumia.
Ooh thank you so much bro i will google and learn through internet and i wikk keep focus on grammers and tenses
 
Nchi ya ajabu hii kuna vitu ukiwaza mpaka unakuta kuishi TZ mambo ya hovyo ni mengi alafu serikali imekaa kimya yani wanaona ni moja ya ajira kwa wananchi wizi mtupu.
Serikali ilipaswa kuliona hili na kulikemea kwasababu linaumiza wananchi lakini kwasababu tumezoea kuishi kwa maziwa ndio ivyo ukitafuta nyumba ya kupanga Leo kichwa kitakuuma shida kila kona kwenye hii nchi
Eh usituite wezi je wewe si mwizi pia unataka kupata vitu free tafuta mwenyewe
 
wewe huwezi kuishi na mtu,si umeachika?
Inaonekana ni lile group la bibie mnaniandama sikia njoo na ID yako unayotambulika ila ujue hili ukooo wenu ndio unatabia yakuzalia nyumbani na kuoa au kuolewa ni ngumu hata maaza ako alikuzaa nyumbani nyie kila mtu ana baba ake
 
Back
Top Bottom