nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Kuna watu ni wakurupukaji kama Chafya, kila jambo lazima na yeye aanzishe thread utafikiri wanalipwa.Umewahi kufika Dodoma
Shangaa mkuu, mwanzisha mada akizeeka namuona kabisa kuwa mchawi.Kwani hakuna sanamu la Nyerere?
Nadhani alimaanisha la MkapaKwani hakuna sanamu la Nyerere?
Alimaanisha Nyerere, hajatembea akalionaNadhani alimaanisha la Mkapa
Mkuu,rudia kuisoma thd tena.Nadhani alimaanisha la Mkapa
Ni bora hiyo kuliko kumchangia 10ml mdude anayeendelea kuharisha tena.Simply Hii project ni wasteful expenditure. Haiwezekani baadhi ya shule up to date wanafunzi wanakaa chini then serikali inapata wazo la kutumia mamilioni kutengeneza sanamu ambayo ni useless. Matumizi yafanyike kwa kuzingatia priority ya ustawi wa wananchi kwanza and not any otherwise!
Umetangulia kumwona babaako.Shangaa mkuu, mwanzisha mada akizeeka namuona kabisa kuwa mchawi.
watuambie ni vgezo gani vimetumika Mkapa hajajengewa?Kumjengea sanamu Magufuli ni dharau kwetu wananchi
Za mdude zinatolewa na wadau wake kwa hiari. hata kwa Magu watu wanaweza kuchangia kama kwa mduded, kuliko kutoa hizo hela kutoka kwny kodi wanayo kimbizwa watu mtaani wailipie, halafu inajenga sanamu badala ya madawati ya shule au vifaa tiba.Ni bora hiyo kuliko kumchangia 10ml mdude anayeendelea kuharisha tena.