Nani anastahili kujengewa sanamu ya kumbukumbu kati ya Mzee Nyerere na Magufuli?

Nani anastahili kujengewa sanamu ya kumbukumbu kati ya Mzee Nyerere na Magufuli?

Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation)

Alijenga umoja wa kitaifa.

"Reli ya Tazara"

"Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk."

Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.

Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu, je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?

Kipi bora kwa watanzania, SGR, STIEGLER'S, AU UHURU, MSHIKAMANO NA UMOJA?

My take: Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
Labda ungeuliza sanamu ya mkapa. La nyerere lipo na lingine alichonga yule bwana kigwangala nyerere kafanana na sokoine
 
Back
Top Bottom