Nani anastahili kujengewa sanamu ya kumbukumbu kati ya Mzee Nyerere na Magufuli?

Nani anastahili kujengewa sanamu ya kumbukumbu kati ya Mzee Nyerere na Magufuli?

Wacha kujichosha bro,JPM hatokuja kusahaulika kwa mengi aliyoyafanya kwenye Taifa hili,na sio tu alipokuwa Rais.
Tunawajibu wa kumuenzi shujaa huyu.Hata Samia pia atajengewa kama ataweza kuvunja records za JPM .
Huenda Mama Samia akajengewa kama mwanamke wa Kwanza kuwa Rais wa JMT
 
Hata Kama Dodoma lipo, kuna haja ya kujenga na magufuli,
Je samia akitupatia katiba mpya mtajenga sanamu lake?
Maana katiba mpya ndimo kulimo na haki za watanzani ulinzi wa Mali zao
Katiba ni bora kuliko sgr,ndege nk
Hata yasipojengwa masanamu pesa itaelekezwa kwingine
 
Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation)

Alijenga umoja wa kitaifa.

"Reli ya Tazara"

"Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk."

Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.

Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu, je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?

Kipi bora kwa watanzania, SGR, STIEGLER'S, AU UHURU, MSHIKAMANO NA UMOJA?

My take: Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
Wamjengee tu huyo wanaetaka kumjengea lakini tunachoamini wengi ni kwmba within our lifetime hiyo sanamu itaangushwa!
 
Mleta mada,utawekaje miamba miwili kuipambanisha mkuu.inshort hii miamba inastahili kujengewa sanamu,mwal. Tayar lipo,sema mwamba jpm .binafsi wangejenga haya masanamu 2 ,yaani la mwal.na magu pale lango la kuingia govt city,DODOMA.moja liwe kushoto na jingine kulia .
 
Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation)

Alijenga umoja wa kitaifa.

"Reli ya Tazara"

"Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk."

Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.

Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu, je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?

Kipi bora kwa watanzania, SGR, STIEGLER'S, AU UHURU, MSHIKAMANO NA UMOJA?

My take: Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
MAGUFULI kafanya MAMBO KUBWA SANA TENA SANA AFRIKA ZAIDI YA NYERERE
 
ni mwendelezo wa kupinga kila kitu manina zao hawa
 
Za mdude zinatolewa na wadau wake kwa hiari. hata kwa Magu watu wanaweza kuchangia kama kwa mduded, kuliko kutoa hizo hela kutoka kwny kodi wanayo kimbizwa watu mtaani wailipie, halafu inajenga sanamu badala ya madawati ya shule au vifaa tiba.
mchane live uyo kimba
 
Mama Samia kama mrithi wa JPM hawezi kuukata mpango wa ujenzi wa sanamu. Kapita mikononi mwake akiwa msaidizi kwa miaka mitano.

Sio mpango mbaya kwa wanaojua hayati amefanya nini kwa ujenzi wa taifa hili, kumbuka nchi haijengwi kwa siku moja na kila Rais ni muhimu.
kwani kuna rais ambaye hajafanya makubwa?
 
Wengine tukiiona hiyo sanamu tutakuwa tunakumbuka tukio la wafanyakazi kukosa nyongeza ya mishahara kwa miaka 6 na mateso mengine waliyoyapata watanzania wenzetu.
 
Tujuze jamaa yangu liko wapi? La Mwinyi ( nb. sio lazima awe ameshakufa) na la Mkapa na Kikwete yako wapi?
Umeisoma thd au umekurupuka tu?

Thd inahusu Nyerere na Magufuli,mleta mada anadai hakuna sanamu la Nyerere na ndio kilichonishangaza,uwe unasoma comment na kuielewa kabla hujaamua kumquote mtu.
 
Mama Samia kama mrithi wa JPM hawezi kuukata mpango wa ujenzi wa sanamu. Kapita mikononi mwake akiwa msaidizi kwa miaka mitano.

Sio mpango mbaya kwa wanaojua hayati amefanya nini kwa ujenzi wa taifa hili, kumbuka nchi haijengwi kwa siku moja na kila Rais ni muhimu.
Vipi kuhusu Mkapa? au yeye hakuwa Rais wa Tanzania?
 
Waweke na la Makonda na la Sabaya
Yeah... ili wabaya wake wamalizie hasira zao kwa kulicharaza bakora... wanapokosa nafasi ya kukutana nao...

Ujenzi wa sanamu kwa zaidi ya 400m ni uzwazwa wa fikra... Imagine Bugando wanalalamika upungufu wa mitungi ya oxygen kwa ajili ya waathirika wa changamoto za upumuaji
 
Back
Top Bottom