Nani anastahili kujengewa sanamu ya kumbukumbu kati ya Mzee Nyerere na Magufuli?

Mada ya kipuuzi sana! Sanamu halina msaada wowote kwa wananchi wala mjengewa sanamu.....sana sana ndege watatua juu ya kichwa cha sanamu na kulinyea!
 
Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msing (foundation).

Alijenga umoja wa kitaifa
". Reli ya Tazara
". Mabwawa ya kidatu na mtera
nk.

Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.

Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu,je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?

Kipi bora kwa watanzani,SGR, STIGLAS,AU UHURU,MSHIKAMANO NA UMOJA?

My take
Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
Acha chuki za kijinga
 
Kweli mnapambana na Magu's legacy nawashauri Magu alikuwa another Level ongeeni huyu Shujaa wa Africa mwacheni apate pumziko la amani hata mm wakati Nyerere anatutoka nilikuwa naona kama mzaha lkn kadiri nilivyokuwa na pevuka niligundua huyu Mwl alikuwa na maono makubwa ambayo hadi sasa sina wa kumfananisha nae Isipokuwa Magu
 
Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msing (foundation).

Alijenga umoja wa kitaifa
". Reli ya Tazara
". Mabwawa ya kidatu na mtera
nk.

Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.

Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu,je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?

Kipi bora kwa watanzani,SGR, STIGLAS,AU UHURU,MSHIKAMANO NA UMOJA?

My take
Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
Sanamu itajengwaa tu..sema hela waliozosema ni nyingi mno..hapo kunaupigaji mwingine..
 
Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation)

Alijenga umoja wa kitaifa.

"Reli ya Tazara"

"Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk."

Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.

Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu, je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?

Kipi bora kwa watanzania, SGR, STIEGLER'S, AU UHURU, MSHIKAMANO NA UMOJA?

My take: Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
Wote wawili kwani ndiyo marais wa ukweli
 
Hata Kama Dodoma lipo, kuna haja ya kujenga na magufuli,
Je samia akitupatia katiba mpya mtajenga sanamu lake?
Maana katiba mpya ndimo kulimo na haki za watanzani ulinzi wa Mali zao
Katiba ni bora kuliko sgr,ndege nk
Wacha kujichosha bro,JPM hatokuja kusahaulika kwa mengi aliyoyafanya kwenye Taifa hili,na sio tu alipokuwa Rais.
Tunawajibu wa kumuenzi shujaa huyu.Hata Samia pia atajengewa kama ataweza kuvunja records za JPM .
 
Kuna jambo muhimu kuliko uhuru?
Kweli baadhi ya watanzani ni pumbavu totally
 
Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation)

Alijenga umoja wa kitaifa.

"Reli ya Tazara"

"Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk."

Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.

Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu, je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?

Kipi bora kwa watanzania, SGR, STIEGLER'S, AU UHURU, MSHIKAMANO NA UMOJA?

My take: Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
Sanamu la Nyerere lipo Dodoma na Ukumbi wa AU - Adis Ababa, Ethiopia

JPM picha yake pale kwenye kaburi lake inatosha
 
Ni mapema sana kujenga sanamu, Zuma wa SA angekuwa na sanamu sasa hivi lingebomolewa
 
Back
Top Bottom