nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
- Thread starter
-
- #21
Hata Kama Dodoma lipo, kuna haja ya kujenga na magufuli,Alimaanisha Nyerere, hajatembea akaliona
Wengine ni madogo sana kujua mambo ya nchi hii ya miaka hata ile ya tisini tu. Hawajui kuwa Dodoma ipo sanamu ya Nyerere.Una uhakika kua hakuna Sanamu la Nyerere?
Acha chuki za kijingaNyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msing (foundation).
Alijenga umoja wa kitaifa
". Reli ya Tazara
". Mabwawa ya kidatu na mtera
nk.
Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.
Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu,je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?
Kipi bora kwa watanzani,SGR, STIGLAS,AU UHURU,MSHIKAMANO NA UMOJA?
My take
Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
Sanamu itajengwaa tu..sema hela waliozosema ni nyingi mno..hapo kunaupigaji mwingine..Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msing (foundation).
Alijenga umoja wa kitaifa
". Reli ya Tazara
". Mabwawa ya kidatu na mtera
nk.
Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.
Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu,je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?
Kipi bora kwa watanzani,SGR, STIGLAS,AU UHURU,MSHIKAMANO NA UMOJA?
My take
Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
😂Shangaa mkuu, mwanzisha mada akizeeka namuona kabisa kuwa mchawi.
hapo Sasa,labda kumpongeza kwa kukuza deni la taifa kwa awamu moja tu trillion 35 kakopawatuambie ni vgezo gani vimetumika Mkapa hajajengewa?
lijengwe na Wasukuma labda,sio SamiaSanamu itajengwaa tu..sema hela waliozosema ni nyingi mno..hapo kunaupigaji mwingine..
Wote wawili kwani ndiyo marais wa ukweliNyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation)
Alijenga umoja wa kitaifa.
"Reli ya Tazara"
"Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk."
Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.
Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu, je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?
Kipi bora kwa watanzania, SGR, STIEGLER'S, AU UHURU, MSHIKAMANO NA UMOJA?
My take: Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
Wacha kujichosha bro,JPM hatokuja kusahaulika kwa mengi aliyoyafanya kwenye Taifa hili,na sio tu alipokuwa Rais.Hata Kama Dodoma lipo, kuna haja ya kujenga na magufuli,
Je samia akitupatia katiba mpya mtajenga sanamu lake?
Maana katiba mpya ndimo kulimo na haki za watanzani ulinzi wa Mali zao
Katiba ni bora kuliko sgr,ndege nk
Mimi ningejenga Sanamu la Kikwete msema kweli mpenzi wa Mungu.
Liko wapi lililogalimu ya 420 mil?Kwani hakuna sanamu la Nyerere?
Kuna jambo muhimu kuliko uhuru?Wacha kujichosha bro,JPM hatokuja kusahaulika kwa mengi aliyoyafanya kwenye Taifa hili,na sio tu alipokuwa Rais.
Tunawajibu wa kumuenzi shujaa huyu.Hata Samia pia atajengewa kama ataweza kuvunja records za JPM .
Aliyeweka mifumo ya mizuri ya ukusanyaji kodi ambayo huyo mnayemwabudu aliitumia,ameshakufa mtamjengea lini sanamu,au hii haitengenezi legacy ah ushujaa?kikwete asubiri afe kwanza ndio tumjengee
Viongozi waadilifu huwa wanajengewa wakiwa bado wako hai.kikwete asubiri afe kwanza ndio tumjengee
Sanamu la Nyerere lipo Dodoma na Ukumbi wa AU - Adis Ababa, EthiopiaNyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation)
Alijenga umoja wa kitaifa.
"Reli ya Tazara"
"Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk."
Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.
Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu, je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?
Kipi bora kwa watanzania, SGR, STIEGLER'S, AU UHURU, MSHIKAMANO NA UMOJA?
My take: Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
Hivi lile sanamu alipeleka Kigwangalla Burigi Chato ni la nani vile sura, manake huwa linachanganya sanaUna uhakika kua hakuna Sanamu la Nyerere?