Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Huenda Mama Samia akajengewa kama mwanamke wa Kwanza kuwa Rais wa JMTWacha kujichosha bro,JPM hatokuja kusahaulika kwa mengi aliyoyafanya kwenye Taifa hili,na sio tu alipokuwa Rais.
Tunawajibu wa kumuenzi shujaa huyu.Hata Samia pia atajengewa kama ataweza kuvunja records za JPM .
Hata yasipojengwa masanamu pesa itaelekezwa kwingineHata Kama Dodoma lipo, kuna haja ya kujenga na magufuli,
Je samia akitupatia katiba mpya mtajenga sanamu lake?
Maana katiba mpya ndimo kulimo na haki za watanzani ulinzi wa Mali zao
Katiba ni bora kuliko sgr,ndege nk
Hao ndio bavicha hawana akili ya kujua kama dodoma Kuna sehemu panaitwa nyerere square na kuna sanamu kubwa sana la nyerereKwani hakuna sanamu la Nyerere?
Wamjengee tu huyo wanaetaka kumjengea lakini tunachoamini wengi ni kwmba within our lifetime hiyo sanamu itaangushwa!Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation)
Alijenga umoja wa kitaifa.
"Reli ya Tazara"
"Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk."
Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.
Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu, je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?
Kipi bora kwa watanzania, SGR, STIEGLER'S, AU UHURU, MSHIKAMANO NA UMOJA?
My take: Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
Pale Tabora ipo, na ndipo wazee wa mji ule walimtoa machozi, na kuna baadhi ya vikao muhimu vilifanyika pale!Kwani hakuna sanamu la Nyerere?
MAGUFULI kafanya MAMBO KUBWA SANA TENA SANA AFRIKA ZAIDI YA NYERERENyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation)
Alijenga umoja wa kitaifa.
"Reli ya Tazara"
"Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk."
Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi Uhuru, umoja na mshikamano.
Yupi anastahili sanamu ya kumbukumbu, je kumjengea sanamu Hayati Magufuli kunatoa tafsiri gani kwa familia ya Nyerere?
Kipi bora kwa watanzania, SGR, STIEGLER'S, AU UHURU, MSHIKAMANO NA UMOJA?
My take: Rais Samia Suluhu na Serikali yako mtafakari kwa kina na kusimamisha mpango huu wa TanTrade.
mchane live uyo kimbaZa mdude zinatolewa na wadau wake kwa hiari. hata kwa Magu watu wanaweza kuchangia kama kwa mduded, kuliko kutoa hizo hela kutoka kwny kodi wanayo kimbizwa watu mtaani wailipie, halafu inajenga sanamu badala ya madawati ya shule au vifaa tiba.
orodhesha ya magufuli pia ya nyerereMAGUFULI kafanya MAMBO KUBWA SANA TENA SANA AFRIKA ZAIDI YA NYERERE
kwani kuna rais ambaye hajafanya makubwa?Mama Samia kama mrithi wa JPM hawezi kuukata mpango wa ujenzi wa sanamu. Kapita mikononi mwake akiwa msaidizi kwa miaka mitano.
Sio mpango mbaya kwa wanaojua hayati amefanya nini kwa ujenzi wa taifa hili, kumbuka nchi haijengwi kwa siku moja na kila Rais ni muhimu.
Aaahh...ebu tuondokee hapaa buanaa..kusoma hujui hata kusikia pia.! TanTrade wameshasign mkataba wa kujenga bhana..elimu dunia ni ya muhim pialijengwe na Wasukuma labda,sio Samia
Tujuze jamaa yangu liko wapi? La Mwinyi ( nb. sio lazima awe ameshakufa) na la Mkapa na Kikwete yako wapi?Una uhakika kua hakuna Sanamu la Nyerere?
Umeisoma thd au umekurupuka tu?Tujuze jamaa yangu liko wapi? La Mwinyi ( nb. sio lazima awe ameshakufa) na la Mkapa na Kikwete yako wapi?
Vipi kuhusu Mkapa? au yeye hakuwa Rais wa Tanzania?Mama Samia kama mrithi wa JPM hawezi kuukata mpango wa ujenzi wa sanamu. Kapita mikononi mwake akiwa msaidizi kwa miaka mitano.
Sio mpango mbaya kwa wanaojua hayati amefanya nini kwa ujenzi wa taifa hili, kumbuka nchi haijengwi kwa siku moja na kila Rais ni muhimu.
Na yeye atajengewa kwa wakati wake.Vipi kuhusu Mkapa? au yeye hakuwa Rais wa Tanzania?
Yeah... ili wabaya wake wamalizie hasira zao kwa kulicharaza bakora... wanapokosa nafasi ya kukutana nao...Waweke na la Makonda na la Sabaya