Nani anatengeneza faida kubwa kati ya mzalishaji wa bidhaa na mtu wa kati?

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakuu habari zenu

Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi

Hivi kati ya producers/manufacturer Na Middleman nani yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake.

Mimi ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
 
Wakuu habari zenu

Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi

Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..

Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
mzalishaji, uchuuuzi siyo dili
 
Wakuu habari zenu

Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi

Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..

Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Mchuuzi
 
Mzalishaji ndie anaetengeneza faida kubwa maana ndie anaejua siri kubwa ambayo ni gharama za uzalishaji wa hiyo bidhaa

Mfano Mzalishaji Mo ndie anaejua siri kwamba Mo energy moja thamani yake ni shilingi 50 tu kuizalisha. Ila yeye ananuuzia middleman Mo energy moja kwa shilingi 450. Hivyo anapiga 400 kama faida kwa energy moja.

Huku middleman yeye anamuuzia mlaji wa mwisho mo energy moja kwa shilingi 600. Hivyo yeye anapata faida ya shilingi 150 kwa kila mo energy moja
 
Utegemee kununua bidhaa kwa MO alafu uwe tajiri kupita yeye 😄
Wakuu habari zenu

Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi

Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..

Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Mchuuzi ana profit margin kubwa kuliko mzalishaji. Mchuuzi anapata faida papo kwa papo, hana process nyingi kama mzalishaji.
 
Mzalishaji ndie anaetengeneza faida kubwa maana ndie anaejua siri kubwa ambayo ni gharama za uzalishaji wa hiyo bidhaa

Mfano Mzalishaji Mo ndie anaejua siri kwamba Mo energy moja thamani yake ni shilingi 50 tu kuizalisha. Ila yeye ananuuzia middleman Mo energy moja kwa shilingi 450. Hivyo anapiga 400 kama faida kwa energy moja
Sio rahisi kihivyo.
Mishahara,kodi,umeme,vibali,figisu,stress za mashine kuzingua
 
Wakuu habari zenu

Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi

Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..

Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
mzalishaji ndio mmiliki wa mfumo kwahiyo hakuna wakumpangia au kumkadiria kiwango cha pesa anachotakiwa kukipata ila mtu kati ni msaidizi tu ambae anamuunganisha mzalishaji na mlaji kwahiyo kiwango chake cha kipato kipo chini ya mzlishaji, kwa maana mzalishaji akiamua kuuchezesha mfumo na kubadili vigezo na masharti vya kumkandamiza mtu kati ili azidi kujiongezea ukwasi basi mtu kati anaathirika moja kwa moja.... kwa maana nyingine unaweza kusema kwamba mzalishaji ni mfanya biashara wakati huo huo mtu kati ni mfanya kazi.

kwahiyo kazi kwako mkuu kwenye kuchagua, kama unataka uwe mfanya kazi nenda na middleman ila kama unataka uwe mfanya biashara basi kuwa mzalishaji.
 
Hilo swali halina majibu ya moja kwa moja kuna factors nyingi sana zinazoweza kufanya majibu yote kuwa Sawa ama kutokuwa sawa kutegemeana na aina ya bidhaa, aina ya soko, monopoly power ect
 
Wakuu habari zenu

Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi

Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..

Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Middle man 👞 👞 wanakunja cash ndefu..

Unajua Kuna siku nilijikuta naitafakari sanaa MERCANTILISM in & out...

Mercantilism simply means buying cheap & selling dearly hii biashara imetajirisha Sana wazungu...so ukipata nafasi fanya mercantilism unatajirika fasta fasta..
 
Wakuu habari zenu

Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi

Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..

Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Inategemea na bidhaa hakuna formula,

Ila ikitokea mzalishaji bidhaa yeye anafanya marketing sana basi atauza kwa premium na supplier atanyonywa, mfano soko la Soda, simu etc. Kuna kipindi wenye maduka walikuwa wanapata sh 50 tu kila soda wanayouza.

Ikitokea muuzaji yeye ndio kakamata soko na wazalishaji wapo wengi basi tegemea mzalishaji kunyonywa, mfano soko la mazao.
 
Wakuu habari zenu

Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi

Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..

Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Obviously, ni Middle men ila inategemea na biashara I think, kwa upande wa mazao na udalali wa bidhaa nyingi kutoka nje ni Middlemen ndio wala pesa
 
Sio rahisi kihivyo.
Mishahara,kodi,umeme,vibali,figisu,stress za mashine kuzingua

huo ni mfano tu,, pia tambua Hata middle man na yeye ana gharama za mishahara, kodi,umeme, vibali, figisu etc

Nioneshe middle man gani hapa Tanzania anawazidi faida wazalishaji kina Mo dewji ama Bakhressa ?
 
Mzalishaji obviously ndie anaepiga pesa ndefu Kwa sababu yeye huuza products nyingi Kwa hao middle men.
For single product unit middle man anaweza kupata faida zaidi ya mzalishaji. Lakini Kwa sababu huyu middleman anachukua sehemu ndogo Tu ya manufactured product hawezi kumzidi mzalishaji ambao anapata faida ya product yote iliozalishwa.
 
Ni kweli mzalishaji ni mtu wa muhimu ila ukiangalia kwa jicho la tatu,Mchuuzi/mtu kati ndio anaweza kupiga hela nyingi mno iwapo ataweka mifumo ya kuuza sana sio mnamuona Mwenye website ya amazon Jeff Bezos si mtu kati na ni bilionea in USA mkubwa duniani vipi kuhusu Walmart si yale yale kuwa mchuuzi
 
Mzalishaji nalazimika kuweka bei rafiki ili wachuuzi wapate faida na bidhaa iuzike

Back
Top Bottom