The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
mzalishaji, uchuuuzi siyo diliWakuu habari zenu
Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi
Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..
Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
MchuuziWakuu habari zenu
Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi
Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..
Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Utegemee kununua bidhaa kwa MO alafu uwe tajiri kupita yeye 😄
Mchuuzi ana profit margin kubwa kuliko mzalishaji. Mchuuzi anapata faida papo kwa papo, hana process nyingi kama mzalishaji.Wakuu habari zenu
Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi
Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..
Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Sio rahisi kihivyo.Mzalishaji ndie anaetengeneza faida kubwa maana ndie anaejua siri kubwa ambayo ni gharama za uzalishaji wa hiyo bidhaa
Mfano Mzalishaji Mo ndie anaejua siri kwamba Mo energy moja thamani yake ni shilingi 50 tu kuizalisha. Ila yeye ananuuzia middleman Mo energy moja kwa shilingi 450. Hivyo anapiga 400 kama faida kwa energy moja
mzalishaji ndio mmiliki wa mfumo kwahiyo hakuna wakumpangia au kumkadiria kiwango cha pesa anachotakiwa kukipata ila mtu kati ni msaidizi tu ambae anamuunganisha mzalishaji na mlaji kwahiyo kiwango chake cha kipato kipo chini ya mzlishaji, kwa maana mzalishaji akiamua kuuchezesha mfumo na kubadili vigezo na masharti vya kumkandamiza mtu kati ili azidi kujiongezea ukwasi basi mtu kati anaathirika moja kwa moja.... kwa maana nyingine unaweza kusema kwamba mzalishaji ni mfanya biashara wakati huo huo mtu kati ni mfanya kazi.Wakuu habari zenu
Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi
Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..
Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Middle man 👞 👞 wanakunja cash ndefu..Wakuu habari zenu
Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi
Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..
Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Inategemea na bidhaa hakuna formula,Wakuu habari zenu
Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi
Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..
Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Obviously, ni Middle men ila inategemea na biashara I think, kwa upande wa mazao na udalali wa bidhaa nyingi kutoka nje ni Middlemen ndio wala pesaWakuu habari zenu
Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi
Hivi kati ya producers/ manufacturer Na Middleman nanI yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake ..
Mm ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Sio rahisi kihivyo.
Mishahara,kodi,umeme,vibali,figisu,stress za mashine kuzingua
Wakuu habari zenu