Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

Prince05

Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
43
Reaction score
84
Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza.

Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti.
Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi?

Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa wasiwasi sana juu ya mambo haya. Na kama wanaruhusu basi watoe muongozo.

Gari za Polisi zina namba zake, za usalama zina namba zake, za magereza zina namba zake, za JWTZ zina namba zake.

Kwanini hawa watu binafsi (polisi) wanaweka namba ovyo?

IMG_1988.jpeg
 
Kuna vi mbuche vi colora, ist, kluger hizo zote haziwezi milikiwa na serikali. Lakini tunaishi nao tunajua kama ni zao
Mkuu,RTO wa Shinyanga anatembelea Tako la nyani lina namba PT____ lina king'ora na limeandikwa ubavuni.

Na kuna Probox za doria nilikutana nazo barabarani namba PT___ ubavuni zimeandikwa POLISI.
 
Hizo ni zile zinazo taifishwa kisheria na ndio maana zina rangi ya polisi. Ungeelewa mada ungeelewa. Hizo tayari ni Mali ya serikali sio mtu binafsi na ukiziona tu unajua ni polisi. Suala hapa ni gari binafsi. Dar , mwanza arusha zipo harrier , fortuner, probox nk. Zote zina rangi official ya polisi. Karibu tena
 
Ukiangalia jibu langu na hiyo comment niliyoi-quote utaona jibu langu lipo sahihi kwa maelezo yale.
 
Wanasemaga wakiwa kazini, wanaweka hizo ofisho plates.....wakiwa kwny mishe zao binafsi, wanaweka hayo mamchongo sasa tunayo yaona...
 
Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza.

Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti.
Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi?

Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa wasiwasi sana juu ya mambo haya. Na kama wanaruhusu basi watoe muongozo.

Gari za Polisi zina namba zake, za usalama zina namba zake, za magereza zina namba zake, za JWTZ zina namba zake.

Kwanini hawa watu binafsi (polisi) wanaweka namba ovyo?

Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza.

Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti.
Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi?

Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa wasiwasi sana juu ya mambo haya. Na kama wanaruhusu basi watoe muongozo.

Gari za Polisi zina namba zake, za usalama zina namba zake, za magereza zina namba zake, za JWTZ zina namba zake.

Kwanini hawa watu binafsi (polisi) wanaweka namba ovyo?

We kuku mgeni. Namba za usalama zikoje?
 
Kuna zile vibao vyeusi alafu namba kawaida mfano T123ACW alafu unakuta kibao cheusi....huwa ni taasisi gani hii?
 
Polisi ya shitholeni haina chombo cha juu chochote kinachoidhibiti ndo maana inafanya lolote wanavyotaka.

Tukisema sisi ni nyani tunaomalizikia process ya kuwa binadamu vijana muwe mnaelewa! Hata mbinguni kwa Mungu hamna nguvu wala ntu asiyedhibitiwa ni bongo tu ndo kuna haya matapiko.

Jitu mnaliita liforce halafu mnaliacha bila udhibiti wowote unategemea nini? Hata tochi tu ina controls acha mavitu mengine nyie mnaachia tu ndio maana wamekuwa wehu wanarusha risasi tu hovyo hata malkia hana uwezo wa kusema NO
 
Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza.

Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti.
Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi?

Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa wasiwasi sana juu ya mambo haya. Na kama wanaruhusu basi watoe muongozo.

Gari za Polisi zina namba zake, za usalama zina namba zake, za magereza zina namba zake, za JWTZ zina namba zake.

Kwanini hawa watu binafsi (polisi) wanaweka namba ovyo?

Serikali ipi?

Ujui kwamba hakuna Serikali!

Serikali inaua watu wake alafu unasema tuna Serikali.
 
Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza.

Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti.
Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi?

Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa wasiwasi sana juu ya mambo haya. Na kama wanaruhusu basi watoe muongozo.

Gari za Polisi zina namba zake, za usalama zina namba zake, za magereza zina namba zake, za JWTZ zina namba zake.

Kwanini hawa watu binafsi (polisi) wanaweka namba ovyo?

TZ is lawless country, wanaotakiwa kulinda sheria ndio wavunjaji wakuu, utasikia "tii sheria bila shuruti"

Wanapenda kuwa "watu wasiojulikana" hawajui kila mda unavyoenda wanahalalisha wahalifu kutumia njia zao kufanya uhalifu zaidi.
 
Naomba kukuuliza mtoa mada, unasema wanaweka namba zisizojulikana! Swali ni je hazijulikani kwako wewe au hazijulikani kwao? Je unafahamu number plate za usalama wa taifa? Zipoje.
 
Inasikitisha sana kukuta Watanganyika kuwa hivi ila ni kwa sababu ya Elimu za Wakoloni zipo kwa ajili ya kutudumaza ndio maana sishangai maswali ya namna hii..
 
Back
Top Bottom