Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

Inasikitisha sana kukuta Watanganyika kuwa hivi ila ni kwa sababu ya Elimu za Wakoloni zipo kwa ajili ya kutudumaza ndio maana sishangai maswali ya namna hii..
Nijibu Tu bro kama lipo ndani ya uwezo wako, jibu Tu tujadiliane kwa hoja.
 
Back
Top Bottom