Kuna vi mbuche vi colora, ist, kluger hizo zote haziwezi milikiwa na serikali. Lakini tunaishi nao tunajua kama ni zaoUmejuaje ni gari/mali binafsi?
Mkuu,RTO wa Shinyanga anatembelea Tako la nyani lina namba PT____ lina king'ora na limeandikwa ubavuni.Kuna vi mbuche vi colora, ist, kluger hizo zote haziwezi milikiwa na serikali. Lakini tunaishi nao tunajua kama ni zao
Hizo ni zile zinazo taifishwa kisheria na ndio maana zina rangi ya polisi. Ungeelewa mada ungeelewa. Hizo tayari ni Mali ya serikali sio mtu binafsi na ukiziona tu unajua ni polisi. Suala hapa ni gari binafsi. Dar , mwanza arusha zipo harrier , fortuner, probox nk. Zote zina rangi official ya polisi. Karibu tenaMkuu,RTO wa Shinyanga anatembelea Tako la nyani lina namba PT____ lina king'ora na limeandikwa ubavuni.
Na kuna Probox za doria nilikutana nazo barabarani namba PT___ ubavuni zimeandikwa POLISI.
Ukiangalia jibu langu na hiyo comment niliyoi-quote utaona jibu langu lipo sahihi kwa maelezo yale.Hizo ni zile zinazo taifishwa kisheria na ndio maana zina rangi ya polisi. Ungeelewa mada ungeelewa. Hizo tayari ni Mali ya serikali sio mtu binafsi na ukiziona tu unajua ni polisi. Suala hapa ni gari binafsi. Dar , mwanza arusha zipo harrier , fortuner, probox nk. Zote zina rangi official ya polisi. Karibu tena
Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza.
Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti.
Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi?
Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa wasiwasi sana juu ya mambo haya. Na kama wanaruhusu basi watoe muongozo.
Gari za Polisi zina namba zake, za usalama zina namba zake, za magereza zina namba zake, za JWTZ zina namba zake.
Kwanini hawa watu binafsi (polisi) wanaweka namba ovyo?
We kuku mgeni. Namba za usalama zikoje?Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza.
Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti.
Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi?
Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa wasiwasi sana juu ya mambo haya. Na kama wanaruhusu basi watoe muongozo.
Gari za Polisi zina namba zake, za usalama zina namba zake, za magereza zina namba zake, za JWTZ zina namba zake.
Kwanini hawa watu binafsi (polisi) wanaweka namba ovyo?
Serikali ipi?Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza.
Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti.
Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi?
Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa wasiwasi sana juu ya mambo haya. Na kama wanaruhusu basi watoe muongozo.
Gari za Polisi zina namba zake, za usalama zina namba zake, za magereza zina namba zake, za JWTZ zina namba zake.
Kwanini hawa watu binafsi (polisi) wanaweka namba ovyo?
TZ is lawless country, wanaotakiwa kulinda sheria ndio wavunjaji wakuu, utasikia "tii sheria bila shuruti"Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza.
Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti.
Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi?
Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa wasiwasi sana juu ya mambo haya. Na kama wanaruhusu basi watoe muongozo.
Gari za Polisi zina namba zake, za usalama zina namba zake, za magereza zina namba zake, za JWTZ zina namba zake.
Kwanini hawa watu binafsi (polisi) wanaweka namba ovyo?
Wakipita wasimamishe uwaulize
Inasikitisha sana kukuta Watanganyika kuwa hivi ila ni kwa sababu ya Elimu za Wakoloni zipo kwa ajili ya kutudumaza ndio maana sishangai maswali ya namna hii..Naomba kukuuliza mtoa mada, unasema wanaweka namba zisizojulikana! Swali ni je hazijulikani kwako wewe au hazijulikani kwao? Je unafahamu number plate za usalama wa taifa? Zipoje.