Nani anaweza kutupa historia ya pesa?

Nani anaweza kutupa historia ya pesa?

mkuu usirushe document au link, ingia mzigoni ili tupate kujadili, ukirusha link inamaana unakua muoga wa kuchanganua mambo, hata sisi tuna google, kwani tungeamua kila swali situngeliuliza google
Ni kweli mkuu.

Angefunguka tu hapa hapa ili siku za usoni iwe msaada kwa wengine hasa wasiojua Kiingereza.

Kwa mfano, mtu anaweza kugugo kwa Kiswahili "Historia ya Pesa" halaf matokeo atapewa (utatokea) uzi huu. Itakuwa msaada sana so wajuvi tiririkeni ili uzi uwe helpful kwa watakaogugo baadae.
 
usiweke story za biblia, tunataka utupe mchanganuo wa kisayansi kwamba imekuaje mpaka tumekua na system ya pesa duniani kote, na dola kuwa pesa kuu. na nani ana mamlaka ya kushusha na kupandisha thamani ya pesa, pia nani anaeruhusiwa kuprint. nani anafaidika kwenye mfumo na nani hafaidiki
Sidhani kama ameongelea biblia bali ametaka ku trace historia ya falme ya roma ambapo kiongozi alikua na title ya kaisari.

Biblia imekuja imeikuta pesa hata quran.wakati yesu alizaliwa wakati wa mfalme agusto tayari pesa ilikuwepo kwa kipindi cha hata karne nzima.
 
unataka historia ya pesa gani ? kama za hapa tanzania pesa ilikuwepo hata kabla ya mwarabu maana kuna kiwanda cha pesa kilikuwepo huko sehemu za mwambao kabla ya karne ya 15...
Nimekuelewa kwamba sababu ya kuhama kutoka kwenye barter system kwenda kwenye dhahabu ilikua ni kwamba watu waliona wanasafiri umbali mrefu na bidhaa nzito, wakaamua watafute kituambacho ni kigumu kupatikana ili kiwakilishe bidhaa, ambacho ni dhahabu.

Swali: kama dhahabu ndio ilikua hela kwa kipindi hicho, na ilikua ina dhamani moja dunia nzima, kwann sasa hivi pesa ya noti inatofautiana thamani, kwamaana ya kwamba tuna dola, tsh, ksh, rand, naira. kwann kusiwe na pesa moja inayotambulika dunia nzima.
 
Hili swali ni gumu kidogo kuelewa ni lini pesa ilianza kutumika duniani
Mataifa mengi baada ya Barter system walianza mfumo wa sarafu za dhahabu au silver

Ila nchi kama UK wao walianza kutumia hela miaka 1500 iliyopita ila duniani kuna wengine walianza miaka 5000 iliyopita, ila sio uhakika wa 100%
 
Hili swali ni gum up kidogo kuelewa ni lini pesa ilianza kutumika duniani
Mataifa mengi baada ya Barter system walianza mfumo wa sarafu za dhahabu au silver

Ila nchi kama UK wao walianza kutumia hela miaka 1500 iliyopita ila duniani kuna wengine walianza miaka 5000 iliyopita, ila sio uhakika wa 100%
swali: kwann thamani ya pesa kwa nchi za afrika ni ndogo? na nchi za ulaya ni kubwa?
 
The first known currency was created by King Alyattes in Lydia, now part of Turkey, in 600BC. The first coin ever minted features a roaring lion.

Coins then evolved into bank notes around 1661 AD. The first credit card was introduced in 1946.
 
nimekuelewa kwamba sababu ya kuhama kutoka kwenye barter system kwenda kwenye dhahabu ilikua ni kwamba watu waliona wanasafiri umbali mrefu na bidhaa nzito, wakaamua watafute kituambacho ni kigumu kupatikana ili kiwakilishe bidhaa, ambacho ni dhahabu

swali: kama dhahabu ndio ilikua hela kwa kipindi hicho, na ilikua ina dhamani moja dunia nzima, kwann sasa hivi pesa ya noti inatofautiana thamani, kwamaana ya kwamba tuna dola, tsh, ksh, rand, naira. kwann kusiwe na pesa moja inayotambulika dunia nzima
hatuwezi kuwa na pesa moja duniani sababu tunatofautiana uchumi mfano usd ipo juu moja xa sababu ni gold reserve iliyo bank xa us pamoja na viwanda vyao nk
bitcoin ndio pesa yenye thamani sawa dunia nzima ila inapigwa vita sana ndio maana hawairasimishi
 
Haya, imeisha hiyo
the_history_of_mon_3078442c.jpg
 
swali: kwann thamani ya pesa kwa nchi za afrika ni ndogo? na nchi za ulaya ni kubwa?

Pesa ni kama kitu chochote kinachouzika
Kama demand ni kubwa na thamani inakuwa kubwa
Kwa mfano wengi wetu tunaposafiri tunahitaji £au $ kwa sababu Ina hitajika kila sehemu au utakuta mtu anauza nyumba anakuambia nataka $

Hapo hela inakuwa na thamani kwa ajili ya uhitaji wake
Watu wa finance wanaweza kutusaidia hapa kwa mfano mimi nakumbuka mara ya kwanza kusafiri nje ya nchi 1978 pesa yetu ilikuwa na nguvu sana ila sasa thamani imeshuka sana
 
hatuwezi kuwa na pesa moja duniani sababu tunatofautiana uchumi mfano usd ipo juu moja xa sababu ni gold reserve iliyo bank xa us pamoja na viwanda vyao nk
bitcoin ndio pesa yenye thamani sawa dunia nzima ila inapigwa vita sana ndio maana hawairasimishi
uchumi ni nn?
 
Pesa ni kama kitu chochote kinachouzika
Kama demand ni kubwa na thamani inakuwa kubwa...
kwani uchumi ni nini? mi nafikiri hatuhitaji mtu wa finance, sisi wenyewe inabidi tujadili, huu ni mzigo kubwa sana kwa mtu wa finance pekee
 
Historia ya coin ya kitambo sana.. ila ya note angalau nifupi na inaushaidi
 
Hii topic ni ngumu kumeza kwa jamii forum. Ni bora tuiache tu. Ingekua kwenye platform ya nigeria au ulaya watu wana capacity kubwa ya uelewa. Bado sana. Tuendelee kujifunza mambo ili tudiscuss topic kama hizi. Hapa ni kama unajaribu kuongea siasa na mtoto wa darasa la kwanza.
Historia ya coin ya kitambo sana.. ila ya note angalau nifupi na inaushaidi
 
Hii topic ni ngumu kumeza kwa jamii forum. Ni bora tuiache tu. Ingekua kwenye platform ya nigeria au ulaya watu wana capacity kubwa ya uelewa. Bado sana. Tuendelee kujifunza mambo ili tudiscuss topic kama hizi. Hapa ni kama unajaribu kuongea siasa na mtoto wa darasa la kwanza.
Watu wanareason kuhusu pesa kutokana na refference ya vitabu badala ya kutumia common sense. Tunafikiri vitabu ndo kila kitu
 
Pesa in historia ndefu sana.

Kama unaweza soma kitabu cha Prof Neil Ferguson kinaitwa Ascent of Money

Au pitia hapa kama una bundle

Ascent of money
 
Waakati Unawasubiri... hakikisha una zihesabu hela zako wakati wa jua linapokua kali.. usihesabu jua likishaanza kuzama... usipokee hela kwa mkono wa kushoto... inapofika mwisho wa mwaka jitumie hela kwa njia ya posta yaani weka kwenye bahasha itume kwa anuani yako na mwaka mpya ukiingia nenda kaipokee..... ukiweza fukia hela sehemu unayoweza kupanda ua, panda ua nuia.

Fedha ni kiumbe hakikisha unaihifadhi katika mfuko wako wa kushoto pindi ukiipokea...

Hayo yote nimeyakuta katika kijitabu tuu..!
 
Pesa in historia ndefu sana.

Kama unaweza soma kitabu cha Prof Neil Ferguson kinaitwa Ascent of Money

Au pitia hapa kama una bundle

Ascent of money
Nimeuliza kwa nn thamani ya pesa tanzania ni ndogo ukilinganisha na marekani. Mkaniambia uchumi mdogo. Nikauliza. Uchumi ni nn. Hakuna alienijibu. Haya ndo majibu ambayo tumekaririshwa mashuleni. Lakini hakuna mtu alie wahi kwenda deep kuuliza
 
Historia ya Fedha

Fedha ni kitu ambacho hukubaliwa na kundi la watu kwa ajili ya kubadilishana bidhaa, huduma, au rasilimali. Kila nchi ina mfumo wake wa ubadilishaji wa sarafu na pesa za karatasi.

Kuzuia na Fedha za Mali​

Mwanzoni, watu walipiga marufuku. Kubadilisha ni kubadilishana kwa mema au huduma kwa mema au huduma nyingine. Kwa mfano, mfuko wa mchele kwa mfuko wa maharagwe. Hata hivyo, vipi ikiwa huwezi kukubaliana na kitu ambacho kilikuwa na thamani ya kubadilishana au hakutaka kile mtu mwingine alikuwa nacho?
Ili kutatua tatizo hilo, wanadamu walitengeneza kile kinachoitwa pesa ya bidhaa.
Bidhaa ni kitu cha msingi kinachotumiwa na karibu kila mtu. Katika siku za nyuma, vitu kama vile chumvi, chai, tumbaku, ng'ombe, na mbegu walikuwa bidhaa na hivyo mara moja kutumika kama fedha. Hata hivyo, kutumia bidhaa kama fedha zilikuwa na matatizo mengine. Kubeba mifuko ya chumvi na vitu vingine ilikuwa ngumu na bidhaa zilikuwa vigumu kuhifadhi au ziliharibika.

Fedha za Fedha na Karatasi​

Vipengele vya metali vilitengenezwa kama pesa karibu 5000 BC Kwenye 700 BC, Wadidians wakawa wa kwanza katika ulimwengu wa magharibi kufanya sarafu. Nchi za hivi karibuni zilichagua mfululizo wao wa sarafu na maadili maalum. Chuma ilitumiwa kwa sababu ilikuwa inapatikana kwa urahisi, rahisi kufanya kazi na inaweza kutumika tena. Kwa kuwa sarafu zilipewa thamani fulani, ikawa rahisi kulinganisha gharama ya vitu ambavyo watu walitaka.
Baadhi ya pesa za kwanza zilizojulikana za karatasi zimerejea China ya kale, ambapo utoaji wa fedha za karatasi ulikuwa kawaida kutoka AD 960 kuendelea.

Mwakilishi wa Fedha​

Kwa kuanzishwa kwa fedha za karatasi na sarafu isiyo ya thamani, pesa ya bidhaa ilibadilishwa kuwa fedha za mwakilishi. Hii ilikuwa inamaanisha kuwa pesa yenyewe yenyewe haikuhitaji kuwa ya thamani sana.
Fedha ya Mwakilishi iliungwa mkono na ahadi ya serikali au benki ya kuitenganisha kwa kiasi fulani cha fedha au dhahabu.
Kwa mfano, muswada wa zamani wa Uingereza Pound au Pound Sterling mara moja umehakikishiwa kuwa na uwezo wa kukombolewa kwa kilo cha fedha sterling.
Kwa zaidi ya karne ya kumi na tisa na ishirini, idadi kubwa ya sarafu ilikuwa msingi wa fedha za mwakilishi kupitia matumizi ya kiwango cha dhahabu.

Fiat Fedha​

Fedha ya mwakilishi sasa imebadilishwa na fiat fedha. Fiat ni neno la Kilatini la "hebu lifanyike." Fedha sasa inapatiwa thamani na serikali au amri ya serikali. Kwa maneno mengine, sheria za zabuni za kutekeleza sheria zinafanywa. Kwa sheria, kukataliwa kwa fedha "zabuni ya sheria" kwa njia ya aina nyingine ya malipo ni kinyume cha sheria.

Mwanzo wa Ishara ya Dollar ($)​

Chanzo cha ishara ya "$" ya fedha sio uhakika. Wanahistoria wengi hueleza ishara ya fedha ya "$" kwa pesa ya Mexican au Kihispania "kwa pesa, au piastres, au vipande vya nane. Uchunguzi wa maandishi ya kale unaonyesha kwamba hatua ndogo "S" iliandikwa juu ya "P" na inaonekana kama alama ya "$".

US Money Trivia​

Mnamo Machi 10, 1862, fedha za kwanza za Marekani zililipwa. Madhehebu wakati huo walikuwa $ 5, $ 10, na $ 20. Walikuwa zabuni za kisheria na Sheria ya Machi 17, 1862. Kuingizwa kwa "Katika Mungu Tunayotumaini" juu ya sarafu zote ilihitajika na sheria mwaka 1955. Kifungu cha kitaifa kilionekana kwanza kwenye fedha za karatasi mwaka wa 1957 kwa dola za Fedha 1 na kwenye Shirika la Shirikisho lote Vidokezo vilivyoanza na Série 1963.

Banking ya umeme​

ERMA ilianza kama mradi wa Benki ya Amerika kwa jitihada za kuchanganya sekta ya benki. MICR (kutambua tabia ya wino magnetic) ilikuwa sehemu ya ERMA. MICR kuruhusiwa kompyuta kusoma namba maalum chini ya hundi ambazo ziruhusu kufuatilia kompyuta na uhasibu wa shughuli za hundi.
 
Back
Top Bottom