Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu topic bado inaendelea karibuniMifumo ya fedha wameshika walioanzisha. Inasikitisha lakini huo ndio ukweli, wanaopanga bei ya dhahabu hawajawahi hata kujua inapatikana vipi. Lakini ndio hivyo tena, michezo hii wameanzisha wazungu, sheria wametunga wao... sisi tumeingizwa tu, ndio maana tunapigwa kila siku.
Tafuta kitu kina Chicago Mercantile Exchange.... unaweza kulima mahindi hapa Katavi, lakini bei wanaamua wana huko Chicago.
Hizo details nilizokupa ni kujibu swali la historia ya fedha.
Kama unataka kujua kuhusu kwanini currency zina thamani tofauti, hiyo ni issue nyingine. Lakini haina uhusiano wa moja kwa moja na ukubwa wa uchumi.
Mimi sio mchumi ina najua exchange rate ina mambo mengi, sio tu ukubwa au udogo wa uchumi mfano google exchange rate inasema 1 usd ni sawa na 109.85 Kenyan Shilling, wakati huo huo 1usd ni sawa na 108.64 Japanese Yen, ukitumia kigezo cha Forex unaweza sema Kenya na Japan ziko sawa.
Karibuni kaeibuni. Mwenye wazo jipya aliweke mezani. Wote tunataka kujifunza![]()
Fedha ni kitu ambacho hukubaliwa na kundi la watu kwa ajili ya kubadilishana bidhaa, huduma, au rasilimali. Kila nchi ina mfumo wake wa ubadilishaji wa sarafu na pesa za karatasi.
Kuzuia na Fedha za Mali
Mwanzoni, watu walipiga marufuku. Kubadilisha ni kubadilishana kwa mema au huduma kwa mema au huduma nyingine. Kwa mfano, mfuko wa mchele kwa mfuko wa maharagwe. Hata hivyo, vipi ikiwa huwezi kukubaliana na kitu ambacho kilikuwa na thamani ya kubadilishana au hakutaka kile mtu mwingine alikuwa nacho?
Ili kutatua tatizo hilo, wanadamu walitengeneza kile kinachoitwa pesa ya bidhaa.
Bidhaa ni kitu cha msingi kinachotumiwa na karibu kila mtu. Katika siku za nyuma, vitu kama vile chumvi, chai, tumbaku, ng'ombe, na mbegu walikuwa bidhaa na hivyo mara moja kutumika kama fedha. Hata hivyo, kutumia bidhaa kama fedha zilikuwa na matatizo mengine. Kubeba mifuko ya chumvi na vitu vingine ilikuwa ngumu na bidhaa zilikuwa vigumu kuhifadhi au ziliharibika.
Fedha za Fedha na Karatasi
Vipengele vya metali vilitengenezwa kama pesa karibu 5000 BC Kwenye 700 BC, Wadidians wakawa wa kwanza katika ulimwengu wa magharibi kufanya sarafu. Nchi za hivi karibuni zilichagua mfululizo wao wa sarafu na maadili maalum. Chuma ilitumiwa kwa sababu ilikuwa inapatikana kwa urahisi, rahisi kufanya kazi na inaweza kutumika tena. Kwa kuwa sarafu zilipewa thamani fulani, ikawa rahisi kulinganisha gharama ya vitu ambavyo watu walitaka.
Baadhi ya pesa za kwanza zilizojulikana za karatasi zimerejea China ya kale, ambapo utoaji wa fedha za karatasi ulikuwa kawaida kutoka AD 960 kuendelea.
Mwakilishi wa Fedha
Kwa kuanzishwa kwa fedha za karatasi na sarafu isiyo ya thamani, pesa ya bidhaa ilibadilishwa kuwa fedha za mwakilishi. Hii ilikuwa inamaanisha kuwa pesa yenyewe yenyewe haikuhitaji kuwa ya thamani sana.
Fedha ya Mwakilishi iliungwa mkono na ahadi ya serikali au benki ya kuitenganisha kwa kiasi fulani cha fedha au dhahabu.
Kwa mfano, muswada wa zamani wa Uingereza Pound au Pound Sterling mara moja umehakikishiwa kuwa na uwezo wa kukombolewa kwa kilo cha fedha sterling.
Kwa zaidi ya karne ya kumi na tisa na ishirini, idadi kubwa ya sarafu ilikuwa msingi wa fedha za mwakilishi kupitia matumizi ya kiwango cha dhahabu.
Fiat Fedha
Fedha ya mwakilishi sasa imebadilishwa na fiat fedha. Fiat ni neno la Kilatini la "hebu lifanyike." Fedha sasa inapatiwa thamani na serikali au amri ya serikali. Kwa maneno mengine, sheria za zabuni za kutekeleza sheria zinafanywa. Kwa sheria, kukataliwa kwa fedha "zabuni ya sheria" kwa njia ya aina nyingine ya malipo ni kinyume cha sheria.
Mwanzo wa Ishara ya Dollar ($)
Chanzo cha ishara ya "$" ya fedha sio uhakika. Wanahistoria wengi hueleza ishara ya fedha ya "$" kwa pesa ya Mexican au Kihispania "kwa pesa, au piastres, au vipande vya nane. Uchunguzi wa maandishi ya kale unaonyesha kwamba hatua ndogo "S" iliandikwa juu ya "P" na inaonekana kama alama ya "$".
US Money Trivia
Mnamo Machi 10, 1862, fedha za kwanza za Marekani zililipwa. Madhehebu wakati huo walikuwa $ 5, $ 10, na $ 20. Walikuwa zabuni za kisheria na Sheria ya Machi 17, 1862. Kuingizwa kwa "Katika Mungu Tunayotumaini" juu ya sarafu zote ilihitajika na sheria mwaka 1955. Kifungu cha kitaifa kilionekana kwanza kwenye fedha za karatasi mwaka wa 1957 kwa dola za Fedha 1 na kwenye Shirika la Shirikisho lote Vidokezo vilivyoanza na Série 1963.
Banking ya umeme
ERMA ilianza kama mradi wa Benki ya Amerika kwa jitihada za kuchanganya sekta ya benki. MICR (kutambua tabia ya wino magnetic) ilikuwa sehemu ya ERMA. MICR kuruhusiwa kompyuta kusoma namba maalum chini ya hundi ambazo ziruhusu kufuatilia kompyuta na uhasibu wa shughuli za hundi.
Unaweza kutuambia udanganyifu unaoweza kufanyika kwenye huu mfumo. Na nani anafaidika kwenye huo mfumo wa kidunia wafedha. Na kama anafaidika je, ni kwa njia ya haki au sio. Na kama anafaidika kwa njia ya utapeli nani wa kimsimamia. Je kuna taasisi zinazosimamia haki kwenye fraud zozote. Na kama zipo nani anaezisimamia kama zimesimamia vizuri. Je ni swala ambalo liko kiimani zaidi kwamba tuamini tu mfumo upo safe na hamna udanganyifu au limekaa ki fact. Kwamba kama udanganyifu ukitokea basi automatically mtu anakamatwa.Nielewavyo mimi
Hapo mwanzo watu walibadilishana bidhaa kwa bidhaa yaani Maharagwe kwa Mchele ama ngano kwa Chumvi au vyovyote vile walivyoona ni mabadilishano ya haki.
Hali hii ilikwenda mpaka pale kikawajia wazo la kuwa na kipimo cha ubadilishaji huo wa bidhaa, Wakaja na Dhahabu ikiwa ni kitu cha thamani miongoni mwa jamii zote.
Hivyo ikawa kama unahitaji bidhaa ni lazima uwe na dhahabu ili kuipata bidhaa unayoihitaji. Mfano: Dhahabu kwa Mchele, na Dhahabu kwa Chumvi.
Hii pia ikaenda mpaka walipokuja watu wa Benki (Bankers), hawa walikua ni wafanyabiashara ambao walikua na mitaji mikubwa ambapo walikua wakiwakopesha wafanyabiashara wengine na walilipwa kwa Riba.
Hawa walikua na hifadhi kubwa ya dhahabu, likaja wazo la kuliko watu kutembea na midhahabu kila pahala ni vyema waweke dhahabu sehemu fulani (kwa Bankers) kisha wataipata muda wowote watakapoihitaji.
Ili kuhakikisha kila muwekaji dhahabu anatambulika na kupewa kiasi sahihi alichoweka watu wa Benki wakawa wanatoa 'kikaratasi' (Bank Note) kwa kila mwenye dhahabu yake. Hivyo ikiwa unahitaji bidhaa fulani wewe unatembea na 'kikaratasi' (ambacho kinawakilisha kiasi fulani cha dhahabu) mpaka kwa muuzaji na kumkabidhi, nae atakukabidhi bidhaa inayoendana na kiasi cha dhahabu inayowakilishwa kwenye 'kikaratasi' Ikawa 'kikaratasi' kwa Mchele na 'kikaratasi' kwa Chumvi.
Wauzaji bidhaa walipokea 'kikaratasi' na kwenda Benki kuchukua dhahabu yenye thamani sawa na iliyowakilishwa kwenye 'kikaratasi'. Hapa Benki ndizo zikawa na Pesa Halisi yaani Dhahabu na madin ya fedha na wengine wakiwa na 'kikaratasi' tu.
Mfumo wa 'kikaratasi' ulikumbwa na matatizo mengi ikiwemo kughushi, lakini utatuzi ulipatikana kwa kuboresha utengenezaji wake.
Miaka ya hivi karibuni zikazuka pesa za mitandaoni yaani Bitcoin na Cryptocurrencies nyingine.
Mtindo ni uleule yaani kunakuwa na kiwango fulani kwenye mzunguko ambacho kinatumika kwa mabadilishano ya bidhaa au huduma baina ya watu.
Naamini utakuwa umepata Mwangaza...View attachment 1735831
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Uzalishaji ulishuka i.e ulipunguza fedha za kigeni kuingia, lakini matumizi pia yalipungua i.e yalipunguza fedha za kigeni kuondoka, mzani umebalance.Tulitegemea thamani ya hela ipungue kwa sababu uzalishaji wao ulishuka
Tukianza na Udanganyifu unaoweza kufanyika katika mfumo huu wa fedha,Unaweza kutuambia udanganyifu unaoweza kufanyika kwenye huu mfumo. Na nani anafaidika kwenye huo mfumo wa kidunia wafedha. Na kama anafaidika je, ni kwa njia ya haki au sio. Na kama anafaidika kwa njia ya utapeli nani wa kimsimamia. Je kuna taasisi zinazosimamia haki kwenye fraud zozote. Na kama zipo nani anaezisimamia kama zimesimamia vizuri. Je ni swala ambalo liko kiimani zaidi kwamba tuamini tu mfumo upo safe na hamna udanganyifu au limekaa ki fact. Kwamba kama udanganyifu ukitokea basi automatically mtu anakamatwa.
Pia unaweza elezea kwann italy ilikua na covid 19 kali kabisa kuliko nchi zote na bado thamani yao ya hela ikaendelea kua ile ile? Tulitegemea thamani ya hela ipungue kwa sababu uzalishaji wao ulishuka..( nanukuu kutoka kwenye principle za currency inavopaswa kufanya kazi).
Ukiweza kunijibu hayo maswali then utakua umetoa watu wengi sana kwenye kiza. Lakini nilipenda uwe honest kwenye majibu yako
Kwa maelezo yako in summaryNitajibu kadri nilivyojaaliwa uelewa juu ya hili suala..
Tukianza na Udanganyifu unaoweza kufanyika katika mfumo huu wa fedha,
Ndio, kuna mapengo mengi sana yanayotoa fursa kwa watu wenye nia Ovu kufanya udanganyifu na kujiingizia kipato kwa njia zisizo za halali.
Mathalani, Katika ngazi za kibenki watu wanaweza kughushi cheki na sahihi za wamiliki wa akaunti, au kwa kuongeza idadi ya sifuri zilizoandikwa kwenye cheki husika.
Katika ngazi ya benki pia Kampuni inaweza kughushi nyaraka zake za mapato na matumizi kuonyesha kuwa kampuni inatengeneza faida kubwa hali ya kuwa ni kinyume chake, Kughushi huku kunatumika kupata Imani ya Benki ya kukopeshwa kiasi kikubwa cha fedha.
Kimsingi katika Udanganyifu njia zinazotumika ziko nyingi sana, Si rahisi kuziandika zote hapa.
Kuhusu nani anafaidika;
Kwa maono yangu afaidikae na mfumo huu ni Marekani, Pesa yake yaani Dola ndiyo inayotumika na kuaminika zaidi katika miamala mingi ya kibiashara Ulimwenguni. Inakadiriwa asilimia 70 za miamala ya kifedha ifanyikayo Duniani huhusisha Dola ya Marekani kama fedha ya mabadilishano.
Hali hii huifanya Dola ya Marekani kuwa na Uhitaji Mkubwa sana hivyo Marekani inachapisha Dola nyingi sana kwaajili ya kutimiza mahitaji yake ya ndani na ya kidunia.
Marekani anafaidika kwa kuwa Wananchi wake wananunua bidhaa toka nje kwa bei rahisi sana kuliko watu wengine duniani, hii ni kwa sababu Wamarekani hawahitaji kuibadilisha Dola yao ili kufanya miamala baki wao wanaitumia kama ilivyo na kununua bidhaa nje kwa wingi huku wakilipa kidogo.
Kwa kuongezea Marekani inalipwa na Mataifa mengine ili kuwauzia Dola, yaani Mfano, Kuwait inahitaji Dola 8000 za Kimarekani hawana namna nyingine ya kuzipata ila kwa kwenda Marekani na kulipa (aidha kwa dhahabu au mafuta, au kwa kingine chochote watakachoelewana) na kupewa hizo Dola 8000 ambazo wao watatumia kufanya Miamala ya kibiashara na Nchi nyingine.
Uhalali au Uharamu wa Marekani kufaidika na mfumo huu inategemea na Mtazamo, hivyo nisingependa kulijadili hili.
Kuhusu Chombo kinachosimamia Ubadhilifu katika mfumo wa fedha:
Hakuna chombo kimoja cha kimataifa kinachoshughulika na hili, bali kila nchi ina sheria zake zinazojaribu kuziba mianya ya kufanya aina yoyote ya Ubadhilifu kwa kuifanya kuwa kinyume cha Sheria. Mfano Tanzania tuna TAKUKURU na POLISI ambavyo vinashughulika na kesi zote zinazojihusisha na Uhujumu wa Mfumo huu wa Fedha kama Utapeli Benki uloelezewa hapo juu.
Lakini pia kuna INTERPOL ambayo inajitahidi kushughulikia baadhi ya kesi zinazohusishwa na Ubadhilifu wa Fedha.
Kesi ya Italia;
Italia Iliathiriwa sana na janga la Corona, ilitarajiwa kuona Sarafu yake inashuka thamani, Ni kweli.
Kupanda na kushuka kwa thamani ya Sarafu ya nchi fulani hutegemea sana na Uhitaji wa Sarafu hiyo katika Miamala ya Kifedha.
Uhitaji huo huenda sambamba na masuala ya Uwekezaji na Biashara na nchi za kigeni. Vyote hivi vilishuka wakati wa janga la Korona nchini Italia.
Ni Muhimu kuzingatia ya kuwa Italia ni moja ya nchi ya Ulaya iliyogubikwa na madeni makubwa sana ikiwa pamoja na Ugiriki, ni sawa na kusema ina Uchumi goigoi ukilinganisha na nchi nyingine za Ulaya Magharibi.
Ifahamike kuwa Italia ilikuwa ikitumia Sarafu yake ya Lira lakini iliacha mwaka 1999 na kuanza kutumia Euro, hivyo hapa tunaizungumzia Athari zilizoikumba Euro wakati wa Korona.
Kwanini thamani yake haikutetereka sana?
Korona iliiathiri sana Italia na kupelekea kushuka kwa Uwekezaji nchini humo, kufungwa kwa Biashara na kushuka kwa Uzalishaji ambao ungepelekea Ongezeko la Biashara za kigeni yaani Exports.
Uimara wa Sarafu ya Euro hautegemei Uchumi wa Italia pekee yake, kwakuwa Euro inatumika na nchi nyingi za Ulaya hivyo mambo yanayochanganua Kupanda na kushuka kwa thamani yake hutegemea na nchi zote zinazotumia Euro.
Nchi kama Ujerumani ambayo haikuathiriwa sana ukilinganisha na Italia na Uhispania ndio zilizoiokoa Euro kutoshuka thamani, kwakuwa Vitega Uchumi vya nchi zingine za Ulaya havikuathiriwa sana kupelekea kushuka kwa thamani ya Euro.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kwa maelezo yako in summary
1. Kuna nchi wanaweza chapisha hela bila kuulizwa. na wananchi wake wanaishi kama maboss wa dunia sababu hela yao haipatikani kwa jasho. Ina printiwa tu
2. Italia hata kama corona ingepiga milele na wananchi wakakaa bila kufanya kazi. Euro isingeshuka wala lira kwa sababu ile ile, wanauwezo wa kucheza na thamani ya pesa kwenye computer(exchange rate). Ila afrika kwa sababu hatumiliki wala hatutumii hiyo michezo ya computer. sisi hela yetu inashuka thamani
We unaongelea country economy. On country level ndo huwa kuna inflation. Lakini on global level futa hicho kitu. Ni ngumu sana kugundua inflation on global level sababu nchi tofauti na marekani zinatumia currency nyingine. Lakini zote ziko backed up by dollar.Hapana, hayo siyo nlomaanisha Mkuu.
Hakuna nchi wanaprint tu pesa bila kuwa na mnyororo wa ufanyaji kazi, ikitokea wakafanya hivyo watakumbwa na tatizo liitwalo 'Inflation' ambapo thamani ya sarafu hushuka mara dufu dhidi ya sarafu yoyote ya kigeni, Mfano Zimbabwe wakati wa Mugabe walifanya hivyo kujikwamua toka kwenye vikwazo.
Kama Italia wangelikua wanatumia Lira wakati wa korona si ajabu tungeona Lira ikiporomoka.
Mfano Uchina ni Taifa la kwanza kuathiriwa na Korona na kwa miezi ya awali thamani ya sarafu yake ya Yen ilishuka sana lakini baadae ikapanda kutokana na kwamba waliweza kuuudhibiti ugonjwa na kurudisha imani kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Alafu issue ya zimbabwe sio ya kutolea mfano. Ingekua ni taifa kubwa example "us" limefanya kitu alichokolifanya mugabe wala usingesikia hiyo kesi. Hakuna nchi inayodiriki kulikagua linchi kama marekaji hata kama lime cheat.Hapana, hayo siyo nlomaanisha Mkuu.
Hakuna nchi wanaprint tu pesa bila kuwa na mnyororo wa ufanyaji kazi, ikitokea wakafanya hivyo watakumbwa na tatizo liitwalo 'Inflation' ambapo thamani ya sarafu hushuka mara dufu dhidi ya sarafu yoyote ya kigeni, Mfano Zimbabwe wakati wa Mugabe walifanya hivyo kujikwamua toka kwenye vikwazo.
Kama Italia wangelikua wanatumia Lira wakati wa korona si ajabu tungeona Lira ikiporomoka.
Mfano Uchina ni Taifa la kwanza kuathiriwa na Korona na kwa miezi ya awali thamani ya sarafu yake ya Yen ilishuka sana lakini baadae ikapanda kutokana na kwamba waliweza kuuudhibiti ugonjwa na kurudisha imani kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Alafu unaweza kuniambia nani alikua anamonitor thamani ya pesa ya china. Kushusha hadi kupanda tena. Dont tell mi kwamba ni automatic process inatokea mbinguni.Hapana, hayo siyo nlomaanisha Mkuu.
Hakuna nchi wanaprint tu pesa bila kuwa na mnyororo wa ufanyaji kazi, ikitokea wakafanya hivyo watakumbwa na tatizo liitwalo 'Inflation' ambapo thamani ya sarafu hushuka mara dufu dhidi ya sarafu yoyote ya kigeni, Mfano Zimbabwe wakati wa Mugabe walifanya hivyo kujikwamua toka kwenye vikwazo.
Kama Italia wangelikua wanatumia Lira wakati wa korona si ajabu tungeona Lira ikiporomoka.
Mfano Uchina ni Taifa la kwanza kuathiriwa na Korona na kwa miezi ya awali thamani ya sarafu yake ya Yen ilishuka sana lakini baadae ikapanda kutokana na kwamba waliweza kuuudhibiti ugonjwa na kurudisha imani kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Mkuu leo hii hata nchi kama Ujerumani (ingelikua inatumia sarafu yake peke yake mbali na Euro) ikizalisha fedha nyingi na kuziingiza kwenye mzunguko kesi itakuwa ileile sawa na ya Zimbabwe (Inflation).Alafu issue ya zimbabwe sio ya kutolea mfano. Ingekua ni taifa kubwa example "us" limefanya kitu alichokolifanya mugabe wala usingesikia hiyo kesi. Hakuna nchi inayodiriki kulikagua linchi kama marekaji hata kama lime cheat.
So mfano wa zimbabwe ungeuacha tu
Kikanuni, thamani ya Sarafu ya nchi fulani hutegemea uhitaji wa sarafu hiyo, ambapo huenda sambamba na ufanyaji biashara na uwekezaji.Alafu unaweza kuniambia nani alikua anamonitor thamani ya pesa ya china. Kushusha hadi kupanda tena. Dont tell mi kwamba ni automatic process inatokea mbinguni.
As long as binadamu yupo in control bado mfumo hauko safe. Believe mi or not
mkuu unaongelea state economy, mi naongelea global economy, don't sleep on germany, germany haiwezi kua na inflation, sio nchi ya afrika hiyo, hiyo ni nchi ya ulaya ambayo wana Umoja mkali sana, alafu tambua nchi ya ulaya haiwezi kupata inflation kwa sababu pesa yao ina rotate kama dollar dunia nzima, so its their fiat money against the world( ni kama una print pesa na kuiweka kwenye uchumi wa dunia, hii ni tofauti na kuprint hela na kuiweka kwenye uchumi wa nchi yako), lakini issue ya Mugabe ilikua ni kwamba pesa aliyoprint aliwekewa sunction na restriction kufanya biashara pia ikashushwa thamani kwa reference ya dollar. so alishindwa kufanya biashara hata na nchi zake za afrika, ila afrika ingekua na Umoja sanction isingekua inamadhara yoyote, ila kwa sababu nchi za ulaya zina Umoja, ndo maana hakuna kitu kwao kina itwa sunction kwa sababu wakifanya hivo wanakua wanajipiga pini wenyeweMkuu leo hii hata nchi kama Ujerumani (ingelikua inatumia sarafu yake peke yake mbali na Euro) ikizalisha fedha nyingi na kuziingiza kwenye mzunguko kesi itakuwa ileile sawa na ya Zimbabwe (Inflation).
Kwa Marekani ni exception kwakuwa Fedha yake inatumika ulimwenguni kote, lakini pamoja na hilo wanaizalisha kwa kuzingatia uhitaji endapo wakizidisha kuliko uhitaji hatma yake itakua kama ile ya Zimbabwe tu, hii kitu iko fixed.
Kesi kama hiyo iliikuta Hungary miaka ya 1940 na iliyokua Yugoslavia miaka ya 90s.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kama sijakosea...mkuu unaongelea state economy, mi naongelea global economy, don't sleep on germany, germany haiwezi kua na inflation, sio nchi ya afrika hiyo, hiyo ni nchi ya ulaya ambayo wana Umoja mkali sana, alafu tambua nchi ya ulaya haiwezi kupata inflation kwa sababu pesa yao ina rotate kama dollar dunia nzima, so its their fiat money against the world( ni kama una print pesa na kuiweka kwenye uchumi wa dunia, hii ni tofauti na kuprint hela na kuiweka kwenye uchumi wa nchi yako), lakini issue ya Mugabe ilikua ni kwamba pesa aliyoprint aliwekewa sunction na restriction kufanya biashara pia ikashushwa thamani kwa reference ya dollar. so alishindwa kufanya biashara hata na nchi zake za afrika, ila afrika ingekua na Umoja sanction isingekua inamadhara yoyote, ila kwa sababu nchi za ulaya zina Umoja, ndo maana hakuna kitu kwao kina itwa sunction kwa sababu wakifanya hivo wanakua wanajipiga pini wenyewe