Nani anayelipia usambazaji wa habari hii kuhusu kukamatwa wanachadema?

Nani anayelipia usambazaji wa habari hii kuhusu kukamatwa wanachadema?

Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
ila wananchi bana dah, hawawaonei huruma tena viongozi wao, maskini wanapambana wenyewe tu 🐒
 
Watu wako kazini....payroll

Sponsors wa ndani ?!!

Sponsors kutoka Brussels ?!!

Haijulikani....

Taifa liko katika uadui mkubwa

Mwenyezi Mungu alilinde taifa letu bora duniani aaamin [emoji7]
Hao Brussels wakiwapa mikopo mbona huwa mnasafiri na delegation kubwa kwenda huko huku mkikenua meno kusainishwa mikataba ya mikopo huku mkiachia rasilimali zetu?
 
Back
Top Bottom