Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Sasa hivi naamini vijana na teknolojia vinaweza kutupa tanzania mpya. Tuzae tu vijana wawe wengiKwani tukik lilitokea usiku?
Fikirini kabla ya kutenda....mnalaum tena teknolojia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi naamini vijana na teknolojia vinaweza kutupa tanzania mpya. Tuzae tu vijana wawe wengiKwani tukik lilitokea usiku?
Fikirini kabla ya kutenda....mnalaum tena teknolojia?
Si mmeyaanzisha subiriniViashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
HahahSi mmeyaanzisha subirini
Yaani jambo mtende wenyewe dhidi ya watu mamia alafu mnashangaa unyama wenu ukianza kusambaa!Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
@anaelipia ni fukara mmoja anaitwa Erythrocyte mwenye chuki juu ya Mama SamiaViashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
Kwani ni nani anaprint T-shirt za Samia na kuzisambaza@anaelipia ni fukara mmoja anaitwa Erythrocyte mwenye chuki juu ya Mama Samia
Mara moja moja jaribu kutumia hicho kitu kimo mukichwani mwako!Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
Ukitaka iwe “Viral” unamlipa nani?Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
Umeandika nini?Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
Sasa unataka iwe siri? Wacha walipie kama kuna uwezekano!Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
Na wewe lipia ili wasiisambaze kuwa viral.Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
Yaani ni mashetani yenye umbo la kibinadamu.Roho inamuuma sio kwa watu kuumizwa bali kwa taarifa kusambaa...Tunaishi na Mashetani live.
😆😆😆