figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka