Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Muislam? Anatakiwa masheikh wamfikie, wampe mawaidha aende Hijja ili akirudi awe mwenye kujistiri
Stara ina mantiki na muda wake,umri ukienda basi Quran imemruhusu mwanamke kupunguza mavazi,mantiki ya stara katika uislam ni kuepusha zinaa,maana zinaa uharibu sana jamii
 
Stara ina mantiki na muda wake,umri ukienda basi Quran imemruhusu mwanamke kupunguza mavazi,mantiki ya stara katika uislam ni kuepusha zinaa,maana zinaa uharibu sana jamii
Huijui wala huifahamu Quran inaonekana
 
Hv ni ukweli hamna hoja hata kidogo? Mmeishiwa kiasi hicho?

Hata mbinu mpya za kuchonganisha viongozi hamna tena?
 
Dada yetu ummy wa tanga angevaa mahijabu tusingeona uzuri wake, japo anafunika kichwa kwa kitambaa. Kuna mkuu mmoja wa mkoa kabla ya kuvaa mahijabu alionekana mrembo sana wa asilia ila kwa sasa urembo wake hauonekani, ni full mahijabu. Kuna watangazaji wa TBC walikuwa hawavai hijabu walionekana kupendeza studioni wakitangaza taarifa ya habari ila kwa sasa wanachukiza mno kuwaona luningani wakiwa na hijabu hawapendezi
 
Quran hujui, tupe andiko lako hilo
وَالْقَوَاعِدُ مِنَ النِّسَاءِ اللَّاتِي لَا يَرْجُونَ نِكَاحًا فَلَيْسَ عَلَيْهِنَّ جُنَاحٌ أَنْ يَضَعْنَ ثِيَابَهُنَّ غَيْرَ مُتَبَرِّجَاتٍ بِزِينَةٍ ۖ وَأَنْ يَسْتَعْفِفْنَ خَيْرٌ لَهُنَّ ۗ وَاللَّهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ
Na wanawake wazee wasio taraji kuolewa, si vibaya kwao kupunguza nguo zao, bila ya kujishaua kwa mapambo. Na wakijihishimu ni bora kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.

Quran 24:60
 
Dada yetu ummy wa tanga angevaa mahijabu tusingeona uzuri wake, japo anafunika kichwa kwa kitambaa. Kuna mkuu mmoja wa mkoa kabla ya kuvaa mahijabu alionekana mrembo sana wa asilia ila kwa sasa urembo wake hauonekani, ni full mahijabu. Kuna watangazaji wa TBC walikuwa hawavai hijabu walionekana kupendeza studioni wakitangaza taarifa ya habari ila kwa sasa wanachukiza mno kuwaona luningani wakiwa na hijabu hawapendezi
Kazi yako kuangalia uzuri wa mabinti wa wenzio,ndiyo starehe yako,ppumbaavu, wanawake wa nyumbani kwenu siyo warembo/wazuri?
 
Tulia hapo mwnyw anaonekana bibi, Ndo uje kwa Migiro 😂
 
Back
Top Bottom