Heshima awe anatema madini na sio pumba😅 mwenyewe wa kitambo tu , parody lisikuzuzue😅Heshima kwa senior Citizen iko wapi?
Kumbe ndio maana anataka kutema bungoAsharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Hatimae kawa mzee.. nilimpenda tangu zamani sana kipindi akiwa kwenye baraza la mawaziri wa Hayati B W. MkapaAsharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Wamekuwa misukule ya bimsumiAsharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Oyaa wee 😹😍😂😀😄😆🙆♂️🙅♂️👋😅Thread Closed
Mnataftiza tu maneno. Lkn sidhani kama itasaidia kumtoa Samia before 2030Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.

Itakuwa hivi sasa ashamtambua Yesu, zamani alikua mbali na YESUAsharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
SaanaaNilichogundua kwenye maisha uzee unakuja chap sana. Aiseee
Asha ni mpare, muislamuchawa effect
huyu ajalazimishwa sema uchawa unamfanya atafute namna ya kumfurahisha mwajili wake