gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kiuno ni shida etiBora unafanya mazoezi..

Kiuno ni shida eti
Hapa ndio tunajua fijra za Watanzania , jambo kama hili mtu analeta mjadala halafu unategemea maendeleo kwa mindset kama hizi viongozi wanafurahi kuona bado mmekuwa mazuzu ?Kwahiyo akivaa hivyo inapunguza ufanisi wake katika kazi au inakuaje wakuu ..?
Inafikirisha sanaHapa ndio tunajua fijra za Watanzania , jambo kama hili mtu analeta mjadala halafu unategemea maendeleo kwa mindset kama hizi viongozi wanafurahi kuona bado mmekuwa mazuzu ?
Wewe wamjua vyema, ulichoandika ndiyo uhalisia wake.Huyo Bibi maisha yake yote ni kufurahisha wanaompa vyeo na kumbeba.
Ukitaka kujua hakuna mwanasiasa aliyekosa maigizo ndio hapo.When in Rome, do as the Romans do.
View attachment 3586388
Tangu utoto wake wake hajavaa, aje avae baada ya kupeo nafasi na Nzi wa kijani?Hijabu halazimishwi na mtu,yeye ni mwislamu na ndio unaomuongoza kuvaa hijabu ni agizo la Mungu kwa mwanamke mwislamu kuvaa kwa staha
Bibi wa miaka 70, meanadiplomasia bobevu na aliyewahi kushika top top offices in the UN hawezi kulazimishwa kuvaa kwa namna fulaniAsharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Hili limama baada ya kuua raia wasiokuwa na hatia MO29 sasa limeanza kuingilia uhuru wa watu hadi kwenye mavazi. Mungu analiona; liuwaji likubwa ibilisi! Nyoooo!Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Unafique ni kitu mbaya sana.Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Kipi cha akabu? kwani samia alianza lini kuvaa hijabu? unajua kuwa alikuwa havai? na unajua lini alianza kuvaa,haya ni masuala ya imani ya mtu na Mungu wakeTangu utoto wake wake hajavaa, aje avae baada ya kupeo nafasi na Nzi wa kijani?
Ni udini kwenye Ofisi za UmmaKipi cha akabu? kwani samia alianza lini kuvaa hijabu? unajua kuwa alikuwa havai? na unajua lini alianza kuvaa,haya ni masuala ya imani ya mtu na Mungu wake
Hijabu sio udiniNi udini kwenye Ofisi za Umma
🤣🤣🤣🤣Kawa kama kizuka 😹
Mbona hakuvivaa UN?Hijabu sio udini
Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586545
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Wakristo furaha yenu wanawake watembee uchi?Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.