Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Jina lake halisi la kuzaliwa ni ASHA MTENGETI. Alipofunga ndoa na Cleophas Migiro akabadilisha dini na kuitwa Rose so akaunganisha majina Asha-Rose plus Migiro la mume wake
 
Wanawake wameqnza kuvaa nguo lini? Nguo sio utamaduni wa Mtanzania. Kawavalishe wahadzabe kama ndo hivyo. Kwani alipokuwa anafanya kazi UN alikuwa Uchi?
andika bango bibie,nenda nalo pale ikulu magogoni au chamwino.
Wanawake hampendani kabisa,ni kwanini haswa???
 
Jina lake halisi la kuzaliwa ni ASHA MTENGETI. Alipofunga ndoa na Cleophas Migiro akabadilisha dini na kuitwa Rose so akaunganisha majina Asha-Rose plus Migiro la mume wake
Kwahiyo baada ya kupewa Cheo na Samia ndo akakumbuka jina la Asha Mtengeti? Samia anawalazimisha. Kwanini kwenye profile yake WhatsApp kaweka picha ya Samia?
 
Hili limama baada ya kuua raia wasiokuwa na hatia MO29 sasa limeanza kuingilia uhuru wa watu hadi kwenye mavazi. Mungu analiona; liuwaji likubwa ibilisi! Nyoooo!
Mkuu punguza chuki itakusaidia sana hasa kwenye 'afya yako ya akili'...
 
Hijabu halazimishwi na mtu,yeye ni mwislamu na ndio unaomuongoza kuvaa hijabu ni agizo la Mungu kwa mwanamke mwislamu kuvaa kwa staha
Hii inaitwa ''ntokoje?''. Wabongo noma! Tangu Samia awe ''rahisi'' wavaa ma-ushungi wawnapo-pose kama Samia wameongozeka. Wengine mpaka ile miji-miwani wameiga. Ni namna ya kujikomba pengine ataonekana. Hata wakatiwa Magufuli wengi walianza kuiga namna anavyohoji kwa kufoka na kutania wanawake weupe. Ujinga na unafiki mtupu.
 
Wakristo furaha yao kubwa wanawake watembee uchi,wakijiifadhii vizuri wao kwao ni kero! Walahi ukristo sio dini hakyamungu.
Migiro alipokuwa UN alikuwa anatembea uchi??
 
Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.

Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.

Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.

Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?

Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.

Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586545
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Uchawa una gharama zake.
 
IMG_7304.jpeg
 
Binadamu ndivyo tul
Hii inaitwa ''ntokoje?''. Wabongo noma! Tangu Samia awe ''rahisi'' wavaa ma-ushungi wawnapo-pose kama Samia wameongozeka. Wengine mpaka ile miji-miwani wameiga. Ni namna ya kujikomba pengine ataonekana. Hata wakatiwa Magufuli wengi walianza kuiga namna anavyohoji kwa kufoka na kutania wanawake weupe. Ujinga na unafiki mtupu.
binadamu ndio tulivyo,na sio tanzania tu.We angalia mawaziri wa marekani wote wanamuiga trump,wote sasa sijui nao wanajikomba
 
Back
Top Bottom