figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hatimahe nimeweza kumshuhudia Migiro akiwa bado ana nguvu hadi akiwa hana nguvu.Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Hijabu halazimishwi na mtu,yeye ni mwislamu na ndio unaomuongoza kuvaa hijabu ni agizo la Mungu kwa mwanamke mwislamu kuvaa kwa stahaAsharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Huyo Bibi maisha yake yote ni kufurahisha wanaompa vyeo na kumbeba.Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Lizee fulani la kukurupuka hapa limepata upenyo kama fisi na mfupaHuyu kijakazi na Hawa wavaa hijabu itabidi UN waingilie kati .Sijui walimfanyaje
😍😂😀😄😆🙆♂️🙅♂️👋😅Thread ClosedKawa kama kizuka 😹
Kumbe na wewe unaukosoaji wa kukera🤣🤣 oookei CaptLizee fulani la kukurupuka hapa limepata upenyo kama fisi na mfupa
Tanzania watu wanakutia maneno mdomoni na ukikataa ndo unageuka kuwa kubwa la maadui!.Mtu kavaa zaidi ya mara moja kivipi awe amelazimishwa?
Mzee ukimsoma btn the line ni mweupe kinouma😅Kumbe na wewe unaukosoaji wa kukera🤣🤣 oookei Capt
Uchawa mzigoAsharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.
Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.
Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?
Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.
Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Heshima kwa senior Citizen iko wapi?Mzee ukimsoma btn the line ni mweupe kinouma😅