Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Vimini, kaptula na suruali/jeans za kubana kwa wanawake ni marufuku kwenye ofisi za umma.
Sasa ww kwa mtazamo wako hijabu ina tatizo gani mpaka uone sio sahihi kuvaliwa kwenye ofisi za uma?
 
What is you point?
You admit that the Islam hijab is a practice, worn by many women, muslim and non muslims as a matter of faith and modesty and as part of daily lives for believer
What is wrong for the muslim women to wear it in public?
Is it supposed to be worn in their homes only?
Why do nuns wear the habit in public places as well, such as in colleges?
 
Hatimahe nimeweza kumshuhudia Migiro akiwa bado ana nguvu hadi akiwa hana nguvu.

Naomba nishuhudie Samia akiwa anapelekeshwa na Rais wa wakati huo kutoka kanda ya Kati.
Samia mhalifu hafiki huko unakotaka afike.
Samia mhalifu mwisho wake ni mfupi sana.
 
Kweli makafiri mnashida kwenye ubongo
Nawaambia wana selective reasoning kama ipo angalau hata kidogo
Watakwambia wanalazimishwa kwa sababu ya mila na desturi za huko nchini kwao Arabia au kwengineko kwenye waislam wengi

Ukiwauliza mbona Ulaya na US kwenye uhuru wanavaa mpaka wao wenyeji wa hizo nchi wanawazuia wasivae hizo Niqab, Burka na Hijab, hawajielewi!

Mwanamke akivaa hijab kwao ni oppression au kwa case hii uchawa, akitaka kuonesha modesty, identity, personal empowerment na religious belief hawapendi lakini mama, dada na wake zao hawataki wavae vimini, kaptula na skin tight mitaani
 
Sasa ww kwa mtazamo wako hijabu ina tatizo gani mpaka uone sio sahihi kuvaliwa kwenye ofisi za uma?
Ninapenda msimamo wa China wa kupiga marufuku watumishi wa umma na viongozi kuvaa kitambulisho chochote cha dini ikiwemo mavazi ya kidini na rosary wakiwa katika utumishi wa umma. Nafikiri utaratibu wa China ungetufaa zaidi sisi ambao ni taifa lenye mchanganyiko mkubwa zaidi wa kidini.
 
Kumbuka lakini now anaitwa Bibi Migiro na sio Dr Migiro tena
 
I have admitted nothing of such.
 
Hoja mufirisi.
 
Kwenye sheria za nchi yetu kuna kifungu chochote kinacho tambua nguo fulani kama kitambulisho cha dini fulani?
 
Mimi naona hayo kama mavazi tu ya kawaida, kuna situation Fulani lazima u adapt hata uwe kichwa ngumu namna gani.
 
Mambo mawili au zaidi yanaweza kuwa ni kweli kwa wakati mmoja. Ni ukweli kwamba wanawake wa nchi za Kiislamu kama Afghanistan, Iran, Saudi Arabia (mpaka mwaka 2019) na baadhi ya majimbo Nigeria, Indonesia, Pakistan n.k ni lazima kisheria kuvaa hijabu. Pia ni ukweli kwamba baadhi ya wanawake wengi Waislamu na baadhi wasio Waislamu huvaa hijabu pia kwa hiyari yao kwa sababu ya dini, utamaduni wa muda mrefu waliokulia/ kuzungukwa nao au wengine kama Wagalatia wanaovaa wanafikiri ni fashion tu wanapendeza au kufurahisha circle yao yenye Waislamu wakati mwingine.
 
Mimi naona hayo kama mavazi tu ya kawaida, kuna situation Fulani lazima u adapt hata uwe kichwa ngumu namna gani.
Kama ni mavazi ya kawaida tu kwa nini mabinti wote wa Kigalatia siku wakivaa hijabu lazime wajichukue video clip au picha warushe mtandaoni status, Insta au TikTok?
 
Kwenye sheria za nchi yetu kuna kifungu chochote kinacho tambua nguo fulani kama kitambulisho cha dini fulani?
Huhitaji sheria kutambua mavazi ya kidini.
 
Kama ni mavazi ya kawaida tu kwa nini mabinti wote wa Kigalatia siku wakivaa hijabu lazime wajichukue video clip au picha warushe mtandaoni status, Insta au TikTok?
Mtu ambaye hajawahi Kula pilau nyama siku akila lazima utajua, ni ulimbukeni Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…