Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
View attachment 3586378View attachment 3586377
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.

Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa watumwa wa watu wa Kizimkazi.

Kama vipi aachane na Huo ukatibu Mkuu wa CCM ili aweHuru.

Nani anamlazimisha dada yetu Asharose Migiro kuvaa Mahijabu?

Yaani Samia Suluhu anafanya watu wakose Uhuru. Anawalazisha Watumishi wa Serikali wote kuweka picha yake kwenye profile zao za Mitandao ya kijami na kuvaa Manguo yenye picha yake. Isipofanya hivyo wasaidizi wake wanakuita msaliti na unatumiwa na Mabeberu. Siku hizi watu hawawaweki picha za Familia zao kwenye profile.. Sababu ya uoga, hadi watu wakivaa kama Samia ndo wanateuliwa na kupewa vyeo zawadi nk.

Tunataka uhuru wetu wa kufanya tunachotaka
View attachment 3586545
View attachment 3586379
View attachment 3586370View attachment 3586371

View attachment 3586370View attachment 3586371View attachment 3586372View attachment 3586373View attachment 3586374View attachment 3586375
Tunaambiwa kuwa bora uchi wa mwili kuliko uchi wa akili. Bw. mdogo Figganigga kwa mawazo yako haya wewe bichwa lako lipo uchi. Hivi kweli umeishiwa la kusema kabisa mpaka hili ulilete humu kwa watu wenye akili zao ? R.I.P Figganigga.
 
Sahrawi koloni la Morocco, kuonesha solidarity na madui wa mfalme Mohammed VI mfalme wa Morocco ni maono mafupi ya kimkakati ya serikali haramu ya chama dola kongwe Tanzania

TOKA MAKTABA :

14 April 2026
Algiers, Algeria

ZIARA YA MHE. KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) DKT. ASHA ROSE MIGIRO NCHINI ALGERIA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) chama dola kongwe Dkt. Asha Rose Migiro alifanya ziara ya kikazi nchini Algeria kuanzia tarehe 6 hadi tarehe 10 Aprili 2026.

Ziara hiyo ililenga kumwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya kuanza kwa vuguvugu la uhuru wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Saharawi.

Mhe. Katibu Mkuu aliwasili Algiers alasiri ya tarehe 06 Aprili 2026 na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Algeria, Mhe. Iman Njalikai na wenyeji wake kutoka Chama Kikuu cha Siasa na Kikongwe kabisa nchini Algeria cha Front Liberation National (FLN).

Tarehe 07 Aprili 2026 Mhe. Katibu Mkuu kabla ya kuelekea Tindouf, Algeria alipata nafasi kutembelea Ofisi za Ubalozi zilizopo jijini Algiers na kupokea taarifa fupi kuhusu utekelezaji wa majukumu mbalimbali hususan masuala ya ushirikiano kutoka kwa Mhe. Balozi.

Kwa upande wake, Mhe. Balozi alimueleza Mhe. Katibu Mkuu wa CCM uhusiano uliopo kati ya Serikali mbili na fursa ambazo Ubalozi umekuwa mstari wa mbele kuzinadi na kuona kuwa fursa hizo zinainufaisha Tanzania. Miongozi mwa fursa zilizopo ni ushirikiano katika sekta ya nishati (mafuta, gesi, mbolea na mafunzo). Ushirikiano katika Sekta ya uzalishaji wa dawa za binadamu, ushirikiano katika sekta ya elimu, ushirikiano katika sekta ya ulinzi na ushirikiano katika sekta ya biashara ambayo Tanzania inaweza kuuza mazao yake ya kilimo nchini Algeria.

Mhe. Katibu Mkuu alishirikia katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Jamhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahara Magharibi tarehe 8 na 9 Aprili 2026 yaliyofinyika katika Jimbo la Auserd liliopo Mkoani Tindouf nchini Algeria.

Madhimisho hayo yalizinduliwa rasmi tarehe 8 Aprili 2026 na Mhe. Rais Brahim Ghali na kuhudhuriwa na Viongozi wa vyama vya siasa na Serikali kutoka nchi mbalimbali duniani kama vile mataifa ya Amerika ya Kusini (Venezuela, Cuba, Mexico, Nicaragua), Nchi za Baltic (Estonia na Lithonia) Mataifa ya Kusini mwa Afrika (Afrika ya Kusini, Angola, Msumbiji, Zimbabwe, Kenya) pamoja na mataifa ya Ulaya kama vile Slovenia na Switzerland.

Kupitia hadhara hiyo, Mhe. Katibu Mkuu alipata nafasi ya kusoma hotuba ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu na kuwasilisha pongezi na mshikamano kwa Serikali na Watu wa Saharawi kwa maadhimisho ya miaka 50 ambayo yanathibisha ushupavu, uimara na uvumilivu wa hali ya juu wa watu wa Sahara Magharibi katika kutetea na kudai haki yao ya kujitwala.

Kupitia hotuba hiyo, Mhe. Rais ameweka wazi msimamo wa Tanzania kuendelea kuunga mkono juhudi za amani kwa mujibu wa Sheria za Kimataifa kupitia maazimio ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Sambamba na kwenda na ajenda ya Umoja wa Afrika ya 2026 "Afrika We Want" na kutoa wito wa kukomesha Ukoloni Barani Afrika na kuendeleza Umoja na Ushirikiano.

Kadhalika, Mhe. Katibu Mkuu alipata nafasi ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Rais Brahim Ghali na kuwasilisha salamu za Dkt. Samia Suluhu Hassan. Viongozi hao walikubaliana kuendeleza uhusiano wa kihistoria kati ya Chama cha Mapinduzi na Front Polisario katika nyanja mbalimbali.

Mhe. Katibu Mkuu alihitimisha ziara yake nchini Algeria tarehe 10 Aprili 2026 ambapo alipata nafasi ya kukutana na Katibu Mkuu wa FLN Mhe. Abdelkarim Benmbarek jijini Algiers. Viongozi hao pia walizungumzia umuhimu wa kuendeleza uhusiano wa kihistoria na kuanzisha ushrikiano wa pamoja katika maeneo mbalimbali ikiwemo kuwajengea uwezo vijana, kiuchumi na kisiasa kwa maslahi ya vyama na nchi mbili kwa ujumla.
IMG_20260510_215100.jpg

Anaonekana kama kibibi flani ombaomba au kigagula/kichawi au muuza mihogo ya kuchemsha kwenye sinia mitaa ya Ikwiriri.
 
Huhitaji sheria kutambua mavazi ya kidini.
Nchi haiendeshwi kwa hisia bali inaendeshwa kwa sheria na katika sheria za nchi yetu hakuna sehemu inapo tambua kuwa mavazi fulani ni utambulisho wa dini fulani.
Hivyo unaruhusiwa kuvaa nguo yeyote lamsingi iwe imekaa kiheshima tu

Na katika uislamu hakuna sehemu ambayo inasema ni razima kuvaa hijabu au nikabu bali uislamu umeamlisha mwanamke ajistiri na mtu anaweza kujistiri kwa nguo yeyote tu sio lazima hijabu.
Suala la hijabu ni ubunifu wa binadamu katika kurahisisha mambo kwenye uvaaji tu.
Alafu ww ni mribelari gani usiye amini katika uhuru wa mtu kuvaa atakavyo?
 
Mnataftiza tu maneno. Lkn sidhani kama itasaidia kumtoa Samia before 2030
Hili la 2030 usiwe na shaka nalo; Samia ni mhalifu, na kama walivyo wahalifu wote ni lazima awajibishwe kabla ya hiyo 2030 unayozungumzia wewe.
 
Mwaka 1989 au 1990 nilikutana na Asharose Harare kwenye conferences tofauti sote tungali vijana. Mimi nilikuwa kwenye conference ya CDRC University of Zimbabwe, na yeye alikuwa kwenye conference tofauti kabisa ambayo nadhani ilikuwa inafanyika Holiday Inn Harare. Asharose alikuwa liberal kweli, kwani alikuwa anavaa jeans ambazo Tanzania zilikuwa hazijafika wakati huo
 
Kumbe wa kitambo kidogo
 
Nchi haiendeshwi kwa hisia bali inaendeshwa kwa sheria na katika sheria za nchi yetu hakuna sehemu inapo tambua kuwa mavazi fulani ni utambulisho wa dini fulani.
Hivyo unaruhusiwa kuvaa nguo yeyote lamsingi iwe imekaa kiheshima tu

Na katika uislamu hakuna sehemu ambayo inasema ni razima kuvaa hijabu au nikabu bali uislamu umeamlisha mwanamke ajistiri na mtu anaweza kujistiri kwa nguo yeyote tu sio lazima hijabu.
Suala la hijabu ni ubunifu wa binadamu katika kurahisisha mambo kwenye uvaaji tu.
Alafu ww ni mribelari gani usiye amini katika uhuru wa mtu kuvaa atakavyo?
Katiba yetu inasema sisi ni taifa la kijamaa, sasa je ni kweli sisi ni taifa la kijamaa?? Narudia tena, huhitaji sheria kutambua vazi au utambulisho wa kidini pia sina shida watu kuvaa hijabu zao mkuu ila lazima tutambue ukweli na uhalisia wa nchi yetu ilivyo kwamba kwa upande wa Tanganyika kutakuwa na kelele tu kwa baadhi ya watu ikitokea wameingia Ofisi ya umma wakakuta watumishi saba kati ya kumi wamevaa hijabu, na kuna scenario nyingi tu za ajabu ajabu zinaweza kuzuka, mfano chumba cha Waislamu kuswali peke yao Airport Arusha kilizua utata na malumbano sana, sasa busara ni kuepusha mambo kama haya kwa ku discourage utambulisho wa kidini katika masuala ya umma.

Pia uvaaji hijabu kwa Waislamu ni jambo la sheria na religious conditioning zaidi, viashiria vya uhuru ni kwa mbali sana.
Utasema watoto wa shule za msingi wanavaa hijabu kwa hiyari yao wenyewe na kupenda?
 
Ndio maana CCM inatuona wananchi ni binadamu wa hovyo maana kazi yetu ni kuropoka tu.

Yaani wewe kuona jina la Asharose ushahitimisha tayari na dini yake.

Kukusaidia tu jina lake la ubini ni Asharose Mtengeti na dini yake ni muislamu wa kuzaliwa.

Hivi inakuwaje huna info za mtu unaetaka kumuongelea. Halafu tafuta picha zake akiwa balozi utaona hiyo ‘turban’ amekuwa akifunga kichwani muda wote akiwa balozi U.K.

Ni shida sana ndio maana asilimia kubwa ya wachangiaji wa JF wanaodai maendeleo hawakumuelewa Magufuli ignorance is still high in Tanzania.
 
Tanzania inajiingiza katika mgogoro wa kidiplomasia kwa kujiingiza ktk mapambano ya mahasimu yaani chama cha ukombozi uchwara cha POLISARIO dhidi ya Ufalme wa Morocco

10 April 2026

Jinsi kamari ya Morocco ya kidiplomasia dhidi ya Sahara Magharibi (Sahrawi) ilivyozaa matunda kimataifa |

View: https://m.youtube.com/watch?v=DaPnzZi3hoE

  • Morocco inachukua sehemu kubwa ya Sahara Magharibi yenye utata huku harakati za watu wa asili wa Sahrawi, Polisario Front, inayoungwa mkono na Algeria, ikitafuta taifa huru.

    Lakini Morocco imeweza kupata uungwaji mkono unaoongezeka duniani - kwa kutumia rasilimali zake za madini ya fosfeti kukuza ushirikiano wa muda mrefu barani Afrika na kusaini mikataba na Marekani chini ya Donald Trump.

    Morocco pia ina uhusiano mzuri na Ulaya, ikiwa ni pamoja na mataifa ya zamani ya kikoloni Uhispania na Ufaransa, ikikuza uungwaji mkono zaidi kwa madai yake ya eneo hilo la Sahrawi.
  • 00:00 Mtanziko wa Sahara Magharibi
  • 04:27 Mfalme mpya, mkakati mpya
  • 04:59 Diplomasia ya fosfeti
  • 07:26 Sanaa ya kutengeneza mikataba: Marekani na Israeli
  • 09:23 Kuinuka kwa kijeshi kwa Moroko
  • 10:32 Mpango wa Atlantiki: miundombinu kama nguvu isyoumiza / laini (soft power)
  • 12:33 Ufaransa: nguvu ya zamani ya kikoloni yajifunga
  • 14:01 Usaidizi wa kimataifa kwa sovereignity ya Morocco?

SOURCE : DW

Mkuu hii ni mada nzuri sana, anzishia uzi wake ili wanadiplomasia waijadili
 
Inawezekana vipi mwanadiplomasia wa level ya Dr Asharose Migiro na umri wake huo alazimishwe kuvaa aina furani ya mavazi kwa sababu ya cheo/madaraka?
Haiwezekani
 
Katiba yetu inasema sisi ni taifa la kijamaa, sasa je ni kweli sisi ni taifa la kijamaa?? Narudia tena, huhitaji sheria kutambua vazi au utambulisho wa kidini pia sina shida watu kuvaa hijabu zao mkuu ila lazima tutambue ukweli na uhalisia wa nchi yetu ilivyo kwamba kwa upande wa Tanganyika kutakuwa na kelele tu kwa baadhi ya watu ikitokea wameingia Ofisi ya umma wakakuta watumishi saba kati ya kumi wamevaa hijabu, na kuna scenario nyingi tu za ajabu ajabu zinaweza kuzuka, mfano chumba cha Waislamu kuswali peke yao Airport Arusha kilizua utata na malumbano sana, sasa busara ni kuepusha mambo kama haya kwa ku discourage utambulisho wa kidini katika masuala ya umma.

Pia uvaaji hijabu kwa Waislamu ni jambo la sheria na religious conditioning zaidi, viashiria vya uhuru ni kwa mbali sana.
Utasema watoto wa shule za msingi wanavaa hijabu kwa hiyari yao wenyewe na kupenda?

Nimesha kwambia kuwa waislam wameamliwa kujistiri na mtu anaweza kujistiri kwa nguo yeyote tu na sio razima iwe hijabu ,kwenye uislamu nguo yeyote ni ya kidini ili mradi inakustiri tu.
Na ndio maana sheria haijasema kuwa ili uingie msikitini ni lazima uvae ijabu au nguo fulani bali unatakiwa kuingia msikitini ukiwa umejistiri.

Kwa hiyo hao watoto wasio vaa hijabu hizo sale zao huwa wamezivaa kwa uamuzi wao au kwa kupenda?
Basi kuanzia sasa hivi waanze kwenda shule wakiwa uchi ili wakisha kuwa watu wazima wavae kwa kupenda.
Au ndo nyinyi ambao kwenu mwanamke kuvaa hijabu ni utumwa na ushamba ila nyinyi wake zenu kuvaa kilo tano za manyele ya marehemu kichwani (wigi) ndo ujanja na usomi?

Kuhusu watu kukalalamika huo ndo upumbavu wa waafrika kujaji na kuchukulia uzito mambo ya kipumbavu na yasiyo kuwa na athari kwenye maisha yake.
Yaani usiumizwe na ubadhirifu wa fedha na huduma mbovu ila uumizwe na hijabu uliyo kuta ameivaa muhudumu wa ofisi utakuwa na akili au utakuwa na funza kichwani?
 
Back
Top Bottom