Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Stara ina mantiki na muda wake,umri ukienda basi Quran imemruhusu mwanamke kupunguza mavazi,mantiki ya stara katika uislam ni kuepusha zinaa,maana zinaa uharibu sana jamii
Kuna mtu mtu mwenye ubini wa rose kwa kobaz akapata uhalali Me nikiwaambia Huyu demu ni pisi kali GenZ hawaelewi

Sema muda sio rafiki duniani
 
Kwa hivyo yeye mzee na hana mume? Hatamaniki kuolewa?
 
Kwiyo kapewa kazi ya Msikiti hadi akumbuke dini yake baada ya miaka 50?
 
Siku hizi mmeanza kupangia watu cha kuvaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…