Unazionaje gharama za mradiMradi unaweza kukwama kwa matatizo mbalimbali ila uendeshaji mbovu huchangia asilimia kubwa kukwama kwa mradi wowote.
Ila hata hiyo "investment cost" pia inapangwa na watu na hao watu ndio haohao wenye elimu ya vyeti na kukariri kwa hiyo wakikosea usishangae.
Ndio maana naona tatizo ni elimu yetu ya Tanzania.
mradi unategemea wahisani almost 60%afu unakuja na viroja vyako kua labda tusitegemee mataifa ya nje,unafikir hiz project n kama mtaji wa kimakonde wa kuwa mmachinga?Ni mpumbavu tu asiyeona faida ya mradi huu.
Labda ungeuliza uendeshaji wake, lakini ni mradi mzuri sana na wenye faida kubwa ya muda mrefu ikiwa tu tutaweza kuuendesha wenyewe bila kutegemea mataifa ya nje.
sasa tz tumeendelea wap?try to differentiate btn developed vs developing countriesUmewahi kwenda nchi zilizoendelea? Umeshawahi kuona nchi isiyo na usafiri wa treni? Usafiri wa treni una kawaida hii: kujenga ni gharama lakini manufaa yake ni makubwa!
Ukinisoma vizuri utakuta nimeandika kutegemea Mataifa ya nje kuuendesha. Huelewi unachokisoma?N
mradi unategemea wahisani almost 60%afu unakuja na viroja vyako kua labda tusitegemee mataifa ya nje,unafikir hiz project n kama mtaji wa kimakonde wa kuwa mmachinga?
Kumbe hata wewe unamashaka na UENDESHAJI?Ni mpumbavu tu asiyeona faida ya mradi huu.
Labda ungeuliza uendeshaji wake, lakini ni mradi mzuri sana na wenye faida kubwa ya muda mrefu ikiwa tu tutaweza kuuendesha wenyewe bila kutegemea mataifa ya nje.
Reli na barabara ni miradi ambayo uwepo wake hauihitaji kuleta faida bali kuleta tija tu. Cha msingi ni muelekeo mzuri wa matumizi ya fedha na naona serikali imecheza vizuri.
Tupo pamoja sema tu umeamua kunipinga. Huu mradi utakwama vibaya mno! Yani hakuna muujiza utakaoufanya uwe na tija.Kama anaamini hauna tija, atakuwa ni mpumbavu tu.
Mashaka yangu ni katika kuuendesha tu huu mradi si kwengine.
Nasubiri kuona mbinu ipi itatumika kuuendesha huu mradi ambayo itakuwa na tija kuliko ya reli zetu zingine mbili tulizonazo hivi sasa.
Kusema kweli tuna mtihani mkubwa sana mbele yetu na nikifikiria wafaulu wetu walipotufikisha hivi sasa, napata kigugumizi cha vipi niusifu.
Nadhani hii ndio pointi ya hii mada…..YATOSHAKama Reli ya kati haitengenezi faida, TAZARA haitengenezi faida, hakuna muujiza wa kuifanya SGR kutengeneza faida. Kama kungekuwa na msongamano wa mizigo ambayo reli ya sasa ya kati inashindwa kuhudumia, hakika kupata treni ya kasi ingesaidia kuisafirisha mizigo yote. Mpaka sasa, reli ya kati inafanya kuokoteza mizigo. Hata siku moja haijawahi kutosheleza uwezo wa treni kubeba, sasa hiyo ya kasi zaidi itabeba mizigo gani? Na hakuna reli duniani inayopata faida kwa kusafirisha watu.
Reli ilikuwa ni muhimu lakini ilitakiwa ujenzi wake utegemee zaidi sababu za kiuchumi kuliko matakwa ya moyo.
Dah me naona gogo lijikite kubeba mizigo tu ili barabara zetu zipone
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mpumbavu tu asiyeona faida ya mradi huu.
Labda ungeuliza uendeshaji wake, lakini ni mradi mzuri sana na wenye faida kubwa ya muda mrefu ikiwa tu tutaweza kuuendesha wenyewe bila kutegemea mataifa ya nje.
mkuu umeongea ukweli aiseeGharama za matengenezo ya barabara inategemea tozo ya mafuta. Maroli yana faida kubwa sana kuliko hasara. Consumption ya mafuta inavyokuwa kubwa Road fund wanakusanya zaidi. Dont trust politician
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka uwe na reli ya kisasa ili ukapigie hapo picha au kuwa na mradi nafuu wenye tija? Hivi kwa ufikiri wako unaona kipi cha manufaa kwenye hiyo reli zaidi ya kubebeshana tu mizigo? Fungua akili yako uwaze vizuri.Unajitutumua tu lakini hauna unachojua...
Kaa kimya kuficha upuuzi wako....
Jinga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ngoja nikueleze faida itatoka wapi,hivi umeshajaribu kuangalia au kuhesabu idadi ya malori yanayopeleka mzigo na mafuta kutoka Bandarini kwenda mikoani kila siku?hizo fleet zote zilikuwa zinasafirishwa na Reli siku za nyuma na hatukuona faida yake kwakuwa walaji walikuwa wanapiga hela,sasa hivi hiyo pesa yote inaishia kwa wafanyabiashara wachache,sasa faida itaonekana iwapo tu huo mzigo utakuwa unasafirishwa kwa reli ambapo pia gharama kwa reli ni rahisi kuliko kwa malori hivyo watu wengi kuvutika kutumia treni badala ya malori.Ungesemea upande wa treni ya abiria labda ningekuelewa kwakuwa kiwango cha kumtoza abiria ili uweze kupata faida kinatakiwa kiwe juu kidogo,kwahiyo ni katika kipindi kifupi tu baada ya hiyo reli kuanza operation faida itaonekana.Pia kumbuka kuwa serikali inapata hasara kubwa sana kwa kutengeneza barabara kutokana na malori kuchakaza hizo barabara hivyo kwa kuanza kazi reli ya SGR serikali itaokoa pesa nyingi sana za matengenezo...Ungekuwa umwnielewa basi ungechangia vizuri. Hujui gharama vs faida ya mradi ndiyo maana wewe kwako ni sawa tu ili mradi reli ya treni ya kasi iwepo.