Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?

Hakuna ulazima wala hakuna sheria inayozuia kupanga. Hoja inakuja mnapodai kutaka kuwaletea watu maendeleo ikiwa nini wenyewe hata sehemu ya kukaa hamna! Hakuna Mtanzania mjinga wa kuwapa kura watu aina hiyo.
Kwa hiyo mTz mwerevu ni yule anayewapa kura watu ambao kila mwaka wa uchaguzi mkuu unapokaribia wanavunja Benki kuu ili kuiba fedha za kugharamia uchaguzi!? Mfano ni Escrow na EPA. Kama hakuna sheria iliyovunjwa hiko unacholalamikia ni upuuzi tu.
 
There was absolutely no need to have SgR. Dont forget we have TRC which we cant even operate fully. Why not concentrate on improving TRC and TaZaRa!?
Locomotives operating on normal gauge railway are obsolete in technology (low speed, high fuel consumption, high CO2 & monoxides emissions, low load carrying capacity, high derailments risks) they are no longer in production therefore relying mostly in modification of spare parts or purchasing used ones from India.

Operation of such fleet is therefore not cost effective leading to marginal profitability for a stringent or disciplined company, or loss making subsidy dependent one.

Since we have for now (since many many years) we have tried to at least modernise the operations but we cannot reduce the technical operational costs.

What is the way forward? Take initiative to modernise the means of transport for longer term benefits! Build SGR ! Which has the following advantages;
1. Modern means of railway transport
2. Use electricity and not diesel
3. NO emissions, preserves environment
4. High speed, saves delivery time
5. High loading capacity, economies of scale
6. Wider gauge, less derailments risks
7. New, modern locomotives/technology
8. Eventually connecting neighbours
9. Longevity, to operate the next 100 years
10. Pride ! It is our own not colonial

You can surely add a lot to the list my brother!
 
Kwa hiyo mTz mwerevu ni yule anayewapa kura watu ambao kila mwaka wa uchaguzi mkuu unapokaribia wanavunja Benki kuu ili kuiba fedha za kugharamia uchaguzi!? Mfano ni Escrow na EPA. Kama hakuna sheria iliyovunjwa hiko unacholalamikia ni upuuzi tu.
Kama una ushahidi huo peleka Polisi, ila hauzuiwi kuropoka mtandaoni.
 
Nyerere alianzisha kipi ambacho aliweza kukiendesha?
Hakuna vililiwa vyote,nia yake ilikuwa ni nzuri akaangushwa na mchwa.Hata sasa mchwa wangalipo,mchwa ni uzembe,uvivu,kutowajibika na kujituma,wizi na upigaji swali tutakabiliana navo vipi? Ukali tu hautoshi
 
Leave all that behind. Concentrate in improving what you already got. TRC and TaZaRa. When they are fully operating then you can see if there is a need to build the SGR one. Unless they are fully utilized.
 
Leave all that behind. Concentrate in improving what you already got. TRC and TaZaRa. When they are fully operating then you can see if there is a need to build the SGR one.
But there is no harm if we can do both ! Remember time is of essence my brother! Tulichelewa sana. TRC as you can see we are pushing tirelessly to make sure it is up again, only problem with it is cost ineffectiveness. TAZARA this is subject to agreement with our counterparts in Zambia and the help of China. God willing we will be there.
 
Kumbuka bado kuna barabara za kikoloni zipo mtaani. Na reli za mkoloni bado zinatumika. Wewe una miaka mingapi usione faida za SGR kwa wajukuu wetu! Miradi ya serikali katika miundo mbinu huwa na hasara tu pale wananchi wakitumia miradi hiyo vibaya. Wale watakao pewa kusimamia miradi hiyo ni watanzania wenyewe waliopo serikalini. Miradi ikishindikana maana yake watanzania ndio wameihujumu. Kumbuka serikali ni chombo kinachoongozwa na watu, sijawahi kusikia serikali imekula rushwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna vililiwa vyote,nia yake ilikuwa ni nzuri akaangushwa na mchwa.Hata sasa mchwa wangalipo,mchwa ni uzembe,uvivu,kutowajibika na kujituma,wizi na upigaji swali tutakabiliana navo vipi? Ukali tu hautoshi
Kwanza lianzishwe somo la maadili mema kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu.

Pia sheria kali kabisa za kuuawa kwa yeyote ataekutwa kafanya ubadhirifu. Iwe dhahiri au kwa siri. Mwizi wa mali ya umma asisamehewe na wauliwe wote, yeye aliyeiba, aliyeshirikiana nae, aliyemfichia dhambi, aliyekula nae.

Hapo watu watatia adabu. Iwekwe "deadline" tu. Kuanzia tarehe fulani ukishikwa na kosa hili na hili na hili ni kifo tu. Hakuna kupandishana mahakamani kupoteza muda.
 
Hapo utakuwa umetengeneza fursa watu watatoa rushwa ili wasiuwawe,huwezi iondoa rushwa kama ujauondoa umasikini kwanza.
 
....basi amekuwa akizitumia kwa utaratibu mbovu kweli.
Ninyi waajabu kweli...mkiambiwa toa mapendekezo mbadala namna ya kukuza na kueleza uchumi jumuishi kwa watanzania wote...hamna kitu mnasema...kazi kujiumauma...wenye uchungu wa kuistawisha Tanzania wakiamua kutekeleza yale yanayofaa kulingana na mahitaji ya sasa na yajayo...mnakuja juu na 'nyuzi' za kebehi...! Mradi haujakamilika/uko kwenye utekelezaji ninyi mmeishaanza kunyanyua kubetua kifaa cha mwili cha kutwanga na kusaga chakula!! Mnakera!
 
Wanapoandaa miradi huwa wanaomba ushirikishi? Vipaumbele vya watawala si vipaumbele vya wananchi.Vipaumbele vya wanasiasa huwa ni vya kuwapa wao sifa kwa gharama za wananchi
 
Mzee umewaza sana kama mimi kwenye hii miradi. Daraja jipya la salender ni maamuzi ya ajabu ya matumizi ya pesa hata Kama ni za wafadhili. Daraja la Busisi pia. Tunajenga kwa Uchumi gani? Kwa strategy ipi? Kwanini hatuangalii returns za kiuchumi tunapofanya uwekezaji kwa pesa zenyewe za kudunduliza?
 
Vi nchi vinavyofuatwa na mradi huu ndio tatizo! Tungeimarisha reli ya kati na tazara, zilitosha muno!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…