Nani atufumbue kuhusu hawa wahindi na waarabu juu ya wanachokifanya huku mitaani

Nani atufumbue kuhusu hawa wahindi na waarabu juu ya wanachokifanya huku mitaani

Nilitoka Morogoro mwaka huu mwanzoni mwezi wa 4 Kuja Moshi mjini kutokana na masuala ya kifamilia,

Nifupishe mada kilichonistajabisha ni kwamba kila ipokua inafika jioni majira ya saa kumi na nusu muda wa Azana, niliona kundi kubwa la watoto na watu wazima wachache wakiongozana kuelekea katika jumba moja ambamo walidai walikua wakipikiwa chakula Aina ya wali, pilau kwa maharagwe na kila siku mbili katika week walichichinjwa mbuzi, hivyo kila week mbuzi 2.

Na kwa makadirio mchele ulikua sio chini ya kg50 kila siku na nilipojaribu kuwauliza zoezi hili limeanza lini na linaisha lini? walidai limeanza baada ya mfungo kwisha na litaishia mwezi wa kumi na mbili du! Nilibaki mdomo wazi, kwakua ni kitu ambacho sijawaiona wala kusikia sadaka ya kulisha watu kwa miezi yote hii na nikiwa Moshi niliuza watu kadha hawakuweza nipa majibu sahihi na hata nilipokwenda Many Ara na Arusha pia sikupata majibu husika, mwenye kujua hii kitu kiundani atufungue tafadhali.

Maswali yangu ni kama haya;
1. Lengo la kupika na kuchinja na kulisha watu kila siku isipokua juma pili ni nini?
2. Je Kuna madhara yoyote kwa wanaokwenda kushiriki kula chakula icho?
3. Ni upi salama wa chakula, mamlaka za serikali zinashiriki kupima ubora wa chakula?
4. Je hii umeshawai kuishuhudia mtaani kwenu?
5. Je hamna Imani za kishirikina zinazoambatana na zoezi hilo hasa kwenye kuchinja mnyama?

Acha kufatilia imani za wengine, wewe ni mchagga sio?
 
Hizo ni kafara za chakula na damu, kifupi hao walaji ni kwishney kabisa kabisa ni sawa na msukule walahi!
Ukialikwa na hao watu usile kitu chochote hata kama una ubao wa namna gani yaani usiguse!
Hata kama huyo mtu ni rafiki!

Mimi nikialikwa na asiekua muislamu, nakua na mashaka, huenda vile viombo vimetumika pia kupikia nyamafu, japo sio wakristo wote wanaokula nyamafu, msininukuu vibaya.

Lakini kwa ndugu zangu waislamu/waarabu sina wasiwasinao kabisa, kwa sababu uislamu umeharamisha kula nyamafu, na muislamu hawezi kufanya huo ujinga
 
Lete ushahidi, sio maneno matupu.
 
Uhuru gani kuwapa watu mlo bila kutokea jasho kama maagizo ya mungu. Waende wakatoe sadaka kwa wahindi na waarabu wenzao.

Tena ukae kimya kabisa ewe mgalatia, wale ni ndugu zetu katika imani. Na kama unatafuta chokochoko lianzishe sasa uone, na isitoshe asilimia kubwa nchini ni waislamu, utarudi kwenu roma aise. Kuwa makini sana.
 
Lazima matokeo sio chanya. Ni namna ya kuwafanya watu tegemezi pia kuwateka kifikra kwamba wahindi na waarabu ni watu wema huku tunajua watu hawa ni sehemu ya ukoloni mbaya sana kwa sisi waafrika. Yafaa kama nia yao ni njema watoe huo msaada kwa program za kitaifa za kuinua maisha ya watu badala ya kuwapikia mlo wali na nyama kula bure kama sherehe isiyo kua na mwisho.
Kuna methali ya kichina.. ukitaka kumsaidia mtu sio kumpa samaki mpe mshipi na ujuzi wa kuvua samaki.
Kama wanafanya kwa kufikiri wanatoa sadaka ili waende mbinguni kwa imani yao ya dini hakika wala hawaendi maana wanalofanya ni dhambi.
Ficha ujinga wako.
 
South africa kabla ya mswahili kuharibu nchi, misikiti, makanisa, na matajiri binafsi wahindi, waarabu, makaburu walilisha homeless people bila kubagua. Ni wewe tu na tumbo lako ukapange foleni wapi ule pa kulala utajua mwenyewe hii ilisaidia kupunguza uhalifu.
 
Mimi nikialikwa na asiekua muislamu, nakua na mashaka, huenda vile viombo vimetumika pia kupikia nyamafu, japo sio wakristo wote wanaokula nyamafu, msininukuu vibaya.

Lakini kwa ndugu zangu waislamu/waarabu sina wasiwasinao kabisa, kwa sababu uislamu umeharamisha kula nyamafu, na muislamu hawezi kufanya huo ujinga
Mbona mnalishwa mishikaki ya mbwa barabarani.
 
Mimi nikialikwa na asiekua muislamu, nakua na mashaka, huenda vile viombo vimetumika pia kupikia nyamafu, japo sio wakristo wote wanaokula nyamafu, msininukuu vibaya.

Lakini kwa ndugu zangu waislamu/waarabu sina wasiwasinao kabisa, kwa sababu uislamu umeharamisha kula nyamafu, na muislamu hawezi kufanya huo ujinga
Kwa nini uhudhurie mwaliko wa asiyekuaa muislamu mwenzio sasa?
Si ndio maulafi hayo tunasema
 
Wanafanya kwa wema tu kama sadaka na pili alazimishwi kwenda kula.
Hivi ndivyo inavyotakiwa kwa matajiri wawalishe masikini
Naunga mkono hoja ya Kalunya!
Kama matajiri wangetimiza wajibu wao wa Kuwalisha Masikini kama walivyo elekezwa kwenye Quran; hakungekuwa na masikini wa kulala njaa. Dunia ya sasa imejaa Ubinafsi na unafiki; wengine wanakula na kusaza huku jirani yake anakufa kwa njaa/hawezi hata kusomesha mtoto shule ya kata. Anza kuangalia ndugu zako au hapo mtaani kwako, ni wangapi hawana hata uhakika wa kupata mlo wa siku? na wewe unajiita muumini unayesubiri siku ya mwisho/hukumu; Kumbuka Pepo hutafutwa huku duniani, huko mbinguni ni hesabu tu
Mimi natamani ningeweza, kutengeneza sehemu kama hiyo nijenge na Shule/Veta wapate Elimu Bure kabisa!!!
 
Naunga mkono!
Kama matajiri wangetimiza wajibu wao wa Kuwalisha Masikini kama walivyo elekezwa kwenye Quran; hakungekuwa na masikini wa kulala njaa. Dunia ya sasa imejaa Ubinafsi na unafiki; wengine wanakula na kusaza huku jirani yake anakufa kwa njaa/hawezi hata kusomesha mtoto shule ya kata. Anza kuangalia ndugu zako au hapo mtaani kwako, ni wangapi hawana hata uhakina wa kupata mlo wa siku? na wewe unajiita muumini unayesubiri siku ya mwisho/hukumu; Kumbuka Pepo hutafutwa huku duniani, huko mbinguni ni hesabu tu
Halafu unakufa unaviacha vyote
 
Lazima matokeo sio chanya. Ni namna ya kuwafanya watu tegemezi pia kuwateka kifikra kwamba wahindi na waarabu ni watu wema huku tunajua watu hawa ni sehemu ya ukoloni mbaya sana kwa sisi waafrika. Yafaa kama nia yao ni njema watoe huo msaada kwa program za kitaifa za kuinua maisha ya watu badala ya kuwapikia mlo wali na nyama kula bure kama sherehe isiyo kua na mwisho.
Kuna methali ya kichina.. ukitaka kumsaidia mtu sio kumpa samaki mpe mshipi na ujuzi wa kuvua samaki.
Kama wanafanya kwa kufikiri wanatoa sadaka ili waende mbinguni kwa imani yao ya dini hakika wala hawaendi maana wanalofanya ni dhambi.

Ila wee jamaa itakua huna mshauri nyumbani kwenu ama mtaani kwenu, yani unampangia mtu kutoa, halafu unasema Kama wanafanya kwa kufikiri wanatoa sadaka ili waende mbinguni kwa imani yao ya dini hakika wala hawaendi maana wanalofanya ni dhambi, wewe ni Mungu unawahukumu??

Narudia tena kaa kimya, acha kufatilia imani za wengine, na kama wewe ni mjanja nenda kwa waarabu/waislamu kaanzishe soo utaona kitakachokukuta.
 
Hao lengo ni kuwabadilisha dini wawe wenzetu msktin
Hakuna sheria inayokataza Mtu kubadili Dini ni uamuzi tu.

Wewe pia unaweza kujiunga na Ithna asharia,Khoja,Ismalia,Bohora,Baniani.

Ni uamuzi tu ndugu.
 
Back
Top Bottom