Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Mbona mnalishwa mishikaki ya mbwa barabarani.
Una ushahidi wa hilo?? Halafu mimi sio mtu wa kulakula hovyo huko njiani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnalishwa mishikaki ya mbwa barabarani.
Wakaguwe na vyakula vya kwenye misiba na harusi.Waanze kwa mama lishe kwanza kisha ndo waingie private
Huko huko unapokula hata maramojaUna ushahidi wa hilo?? Halafu mimi sio mtu wa kulakula hovyo huko njiani.
Hakuna sheria inayokataza Mtu kubadili Dini ni uamuzi tu.
Wewe pia unaweza kujiunga na Ithna asharia,Khoja,Ismalia,Bohora,Baniani.
Ni uamuzi tu ndugu.
😆Mimi surual fupi
Vya bure vina gharama.1.Maji wakinawa yanakwenda wapi ..!?
2:hao wanaokula life expectancy yao ikoje...!??
3:hali zao za kiuchumi zilikuwaje kabla ya kuanza kupewa msosi wa bure...na baada ya kupewa hali zao zikoje
Kama jibu hujui basi hiyo ni sadaka tu wanatoa hao ndugu zetu waarabu na wahindi
Wenzenu wanaamini sana katika sadaka.. kutoa sio lazima iwe kanisani au msikitini pekeeNilitoka Morogoro mwaka huu mwanzoni mwezi wa 4 Kuja Moshi mjini kutokana na masuala ya kifamilia,
Nifupishe mada kilichonistajabisha ni kwamba kila ipokua inafika jioni majira ya saa kumi na nusu muda wa Azana, niliona kundi kubwa la watoto na watu wazima wachache wakiongozana kuelekea katika jumba moja ambamo walidai walikua wakipikiwa chakula Aina ya wali, pilau kwa maharagwe na kila siku mbili katika week walichichinjwa mbuzi, hivyo kila week mbuzi 2.
Na kwa makadirio mchele ulikua sio chini ya kg50 kila siku na nilipojaribu kuwauliza zoezi hili limeanza lini na linaisha lini? walidai limeanza baada ya mfungo kwisha na litaishia mwezi wa kumi na mbili du! Nilibaki mdomo wazi, kwakua ni kitu ambacho sijawaiona wala kusikia sadaka ya kulisha watu kwa miezi yote hii na nikiwa Moshi niliuza watu kadha hawakuweza nipa majibu sahihi na hata nilipokwenda Many Ara na Arusha pia sikupata majibu husika, mwenye kujua hii kitu kiundani atufungue tafadhali.
Maswali yangu ni kama haya;
1. Lengo la kupika na kuchinja na kulisha watu kila siku isipokua juma pili ni nini?
2. Je Kuna madhara yoyote kwa wanaokwenda kushiriki kula chakula icho?
3. Ni upi salama wa chakula, mamlaka za serikali zinashiriki kupima ubora wa chakula?
4. Je hii umeshawai kuishuhudia mtaani kwenu?
5. Je hamna Imani za kishirikina zinazoambatana na zoezi hilo hasa kwenye kuchinja mnyama?
Mama lishe wanatumaliza maana vikolezo wanavyoweka Mungu anawaonaWaanze kwa mama lishe kwanza kisha ndo waingie private
Duu aisee naumia sauna mkuuHizo ni kafara za chakula na damu, kifupi hao walaji ni kwishney kabisa kabisa ni sawa na msukule walahi!
Ukialikwa na hao watu usile kitu chochote hata kama una ubao wa namna gani yaani usiguse!
Hata kama huyo mtu ni rafiki!
NdiondioWenzenu wanaamini sana katika sadaka.. kutoa sio lazima iwe kanisani au msikitini pekee
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Hahahaaa noma saanaMama lishe wanatumaliza maana vikolezo wanavyoweka Mungu anawaona
DuuuuVya bure vina gharama.
Asante mkuuHakuna sheria inayokataza Mtu kubadili Dini ni uamuzi tu.
Wewe pia unaweza kujiunga na Ithna asharia,Khoja,Ismalia,Bohora,Baniani.
Ni uamuzi tu ndugu.
HahaaaUna ushahidi wa hilo?? Halafu mimi sio mtu wa kulakula hovyo huko njiani.
Nilitoka Morogoro mwaka huu mwanzoni mwezi wa 4 Kuja Moshi mjini kutokana na masuala ya kifamilia,
Nifupishe mada kilichonistajabisha ni kwamba kila ipokua inafika jioni majira ya saa kumi na nusu muda wa Azana, niliona kundi kubwa la watoto na watu wazima wachache wakiongozana kuelekea katika jumba moja ambamo walidai walikua wakipikiwa chakula Aina ya wali, pilau kwa maharagwe na kila siku mbili katika week walichichinjwa mbuzi, hivyo kila week mbuzi 2.
Na kwa makadirio mchele ulikua sio chini ya kg50 kila siku na nilipojaribu kuwauliza zoezi hili limeanza lini na linaisha lini? walidai limeanza baada ya mfungo kwisha na litaishia mwezi wa kumi na mbili du! Nilibaki mdomo wazi, kwakua ni kitu ambacho sijawaiona wala kusikia sadaka ya kulisha watu kwa miezi yote hii na nikiwa Moshi niliuza watu kadha hawakuweza nipa majibu sahihi na hata nilipokwenda Many Ara na Arusha pia sikupata majibu husika, mwenye kujua hii kitu kiundani atufungue tafadhali.
Maswali yangu ni kama haya;
1. Lengo la kupika na kuchinja na kulisha watu kila siku isipokua juma pili ni nini?
2. Je Kuna madhara yoyote kwa wanaokwenda kushiriki kula chakula icho?
3. Ni upi salama wa chakula, mamlaka za serikali zinashiriki kupima ubora wa chakula?
4. Je hii umeshawai kuishuhudia mtaani kwenu?
5. Je hamna Imani za kishirikina zinazoambatana na zoezi hilo hasa kwenye kuchinja mnyama?
Hata mafuta utumia cheap sijui wanayaokota wapi.Mama lishe wanatumaliza maana vikolezo wanavyoweka Mungu anawaona
Ndo yule wa pale kilwa road , mivinjeni? Maana kuna jamaa pale anatoa msosi daily.Kamuulizen na Africable