Nani atufumbue kuhusu hawa wahindi na waarabu juu ya wanachokifanya huku mitaani


Acha kufatilia imani za wengine, wewe ni mchagga sio?
 
Hizo ni kafara za chakula na damu, kifupi hao walaji ni kwishney kabisa kabisa ni sawa na msukule walahi!
Ukialikwa na hao watu usile kitu chochote hata kama una ubao wa namna gani yaani usiguse!
Hata kama huyo mtu ni rafiki!

Mimi nikialikwa na asiekua muislamu, nakua na mashaka, huenda vile viombo vimetumika pia kupikia nyamafu, japo sio wakristo wote wanaokula nyamafu, msininukuu vibaya.

Lakini kwa ndugu zangu waislamu/waarabu sina wasiwasinao kabisa, kwa sababu uislamu umeharamisha kula nyamafu, na muislamu hawezi kufanya huo ujinga
 
Hizo ni kafara za chakula na damu, kifupi hao walaji ni kwishney kabisa kabisa ni sawa na msukule walahi!
Ukialikwa na hao watu usile kitu chochote hata kama una ubao wa namna gani yaani usiguse!
Hata kama huyo mtu ni rafiki!
Lete ushahidi, sio maneno matupu.
 
Uhuru gani kuwapa watu mlo bila kutokea jasho kama maagizo ya mungu. Waende wakatoe sadaka kwa wahindi na waarabu wenzao.

Tena ukae kimya kabisa ewe mgalatia, wale ni ndugu zetu katika imani. Na kama unatafuta chokochoko lianzishe sasa uone, na isitoshe asilimia kubwa nchini ni waislamu, utarudi kwenu roma aise. Kuwa makini sana.
 
Ficha ujinga wako.
 
South africa kabla ya mswahili kuharibu nchi, misikiti, makanisa, na matajiri binafsi wahindi, waarabu, makaburu walilisha homeless people bila kubagua. Ni wewe tu na tumbo lako ukapange foleni wapi ule pa kulala utajua mwenyewe hii ilisaidia kupunguza uhalifu.
 
Mbona mnalishwa mishikaki ya mbwa barabarani.
 
Kwa nini uhudhurie mwaliko wa asiyekuaa muislamu mwenzio sasa?
Si ndio maulafi hayo tunasema
 
Wanafanya kwa wema tu kama sadaka na pili alazimishwi kwenda kula.
Hivi ndivyo inavyotakiwa kwa matajiri wawalishe masikini
Naunga mkono hoja ya Kalunya!
Kama matajiri wangetimiza wajibu wao wa Kuwalisha Masikini kama walivyo elekezwa kwenye Quran; hakungekuwa na masikini wa kulala njaa. Dunia ya sasa imejaa Ubinafsi na unafiki; wengine wanakula na kusaza huku jirani yake anakufa kwa njaa/hawezi hata kusomesha mtoto shule ya kata. Anza kuangalia ndugu zako au hapo mtaani kwako, ni wangapi hawana hata uhakika wa kupata mlo wa siku? na wewe unajiita muumini unayesubiri siku ya mwisho/hukumu; Kumbuka Pepo hutafutwa huku duniani, huko mbinguni ni hesabu tu
Mimi natamani ningeweza, kutengeneza sehemu kama hiyo nijenge na Shule/Veta wapate Elimu Bure kabisa!!!
 
Halafu unakufa unaviacha vyote
 

Ila wee jamaa itakua huna mshauri nyumbani kwenu ama mtaani kwenu, yani unampangia mtu kutoa, halafu unasema Kama wanafanya kwa kufikiri wanatoa sadaka ili waende mbinguni kwa imani yao ya dini hakika wala hawaendi maana wanalofanya ni dhambi, wewe ni Mungu unawahukumu??

Narudia tena kaa kimya, acha kufatilia imani za wengine, na kama wewe ni mjanja nenda kwa waarabu/waislamu kaanzishe soo utaona kitakachokukuta.
 
Hao lengo ni kuwabadilisha dini wawe wenzetu msktin
Hakuna sheria inayokataza Mtu kubadili Dini ni uamuzi tu.

Wewe pia unaweza kujiunga na Ithna asharia,Khoja,Ismalia,Bohora,Baniani.

Ni uamuzi tu ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…