Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Ni mtu mwenye uwezo wa kufanya mambo juu ya umri wake,matendo meng huwa yapo ndan y umri tulionao, ukifanya jambo ambal ni zaid ya your chronological age utaitwa genius,but pia tunaangalia mazingira n kitendo kam yanaendan au ls

kumbe omary nae genius .......ana miaka kumi na 9 anatoka na mmama wa miaka 50 amaizing
 
A genius is a person who displays exceptionally superior intellectual ability, creativity, ororiginality , typically to a degree that is associated with the achievement of new advances in a domain of knowledge.

A scholar in many subjects or a scholar in a single subject may be referred to as a genius.

There is no scientifically precise definition of genius, and the question of whether the
notion itself has any real meaning has long been a subject of debate, although psychologists are converging on a definition that emphasizes creativity and eminent
achievement.

Source: wikipedia
 
basi Mimi napaswa kutambuliwa kama Genius maana ninauwezo wa kumuambia mtu madhara au hasara atakayo ipata kabla hajafanya anacho taka kufanya na kweli akifanya inakua kama nilivyo muambia

kuna tofauty kati ya uganga wakienyeji na u genius
 
sio kweli. standard IQ ni 125%. genius wanaanzia 150 na kuendelea. kipimo sio lazima sayansi mi kwenye jambo lolote. mfano Messi kwenye mpira au opra kwenye tv shows au ccm kwenye wizi wa kura wanategewa africa ya mashariki na kusini.

Dah jf raha sana. Nimecheka sana.
 

Ni kweli umemjibu vizuri. Mfano ni Gaussian kama sijakosea jina wakiwa darasani mwalimu wa hesabu aliwapa zoezi la kujumlisha namba 1+2+3+4+5+.........+98+99+100. Baada ya sekunde 30 tu akampa jibu mwl. Mwl akapagawa ikabidi amuulize umefanyeje haraka na jibu ni sahihi kabisa. Akamjibu hizo namba ukigeuza na kujumlisha utapata 101x100 ambayo ni 10100 ukigawa kwa 2 unapata 5050 na ndio jibu. Dogo alitisha
Baadae ndio aligundua Sequence and Series
 
Ni yule anayefanya yale ambaye kwa akili ya kawaida wameshindwa kufanya..
 
THOMAS EDISON...... Huyu jamaa ni real Genius. Soma habari zake. Ndio amegundua taa za umeme, camera nk
Anasema: "Genius is 1% inspiration, 99% perspiration"

Ukitaka kuamini ni Genius wa ukweli yeye ni Self Educated.
 
 

labda nikurekebishe kidogo unaposema magenius wengi wazazi wao walikula lishe bora sidhani kama ina ukweli wowote kama ni kweli fuatilia list yote utakuta magenius karibu wote ni pre mature ss hapo vipi mkuu
 
Kumbuka kwamba kuwa Genius sio hadi uongoze darasani. Inasemekana sirr isack newton alikuwa akishika nafasi ya mwisho kwenye mitihani yake, kumve ni kwa sababu alikuwa na akili kumzidi mwalimu wake.
 
THOMAS EDISON...... Huyu jamaa ni real Genius. Soma habari zake. Ndio amegundua taa za umeme, camera nk
Anasema: "Genius is 1% inspiration, 99% perspiration"

Ukitaka kuamini ni Genius wa ukweli yeye ni Self Educated.
Edi ni kanjanja tu wala hana lolote alikuwa business man wali invert workers wake ila aka patent yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…